Mauaji ya Kiongozi wa CHADEMA Arusha: Watuhumiwa watoroka mahakamani mbele ya polisi!

Daudi Balali ametoroshwa kwa style ya kufa akiwa hai so na hawa utasikia wame uwawa na policcm walivyokua wana rushiana risasi!Ila ukweli wapo hai na viroba wana kunywa!Tukisema hili ni jeshi la policcm wata kataa???Hivi wale wanajeshi walio mpa siku 100 dhaifu wako wapi mbina hatuwasomi au ilikua nguvu ya soda???Pambav kabisa policcm aaaah!!!
 
Polisi wote ni majambazi watawezaje kumshikilia jambazi mwenzao? angalieni hata kule Iringa mwisho mtaambiwa yule askali ametoroka, subirini muone.
 
Ama kweli serikali dhaifu kama hii ya ccm ndiyo faida yake kwa asilimia yote tajwa!

Kama hakika ni hivyo mambo yalivyo nina imani ya kwa kwmb hata muuaji wa Daudi Mwangosi atatoweka hivi hivi mbele ya mahakama tukufu ya jamhuri ya muungano!

Ama kweli serikali legelege matunda yake ndiyo haya!
 
makene,
is whether you keep at side or come on stage with party version of statement not hearsays. Tunasubiri press release yako kesho kuhusu hili kama lipo!
 
Mkuu mimi sioni kosa kwa wewe kusema jambo fulani hata kama ni tetesi.Hata viongozi mbali mbali huweza kuzungumzia jambo ambalo ni tetesi ila cha msingi ni kuweka wazi kama ulivyokuwa umefanya kwamba jambo hili bado halijathibitishwa.Mbona hata vyombo vya habari wakati mwingine hutangaza taarifa na kutoa tahadhari kwamba habari husika bado haijathibitishwa na watu hawashangai? Kwanini sasa wewe iwe nongwa!Nina mashaka na watu wanaokutuhumu na kukushambulia huenda wana sababu zao na zaidi inawezekana zikawa ni sababu za kisiasa.
 
Kama ni ukweli, basi narudia tena hoja yangu ya zamani, ndani ya jeshi la polisi hasa kada ya chini kuna matatizo ama agenda ambazo IGP inapaswa afuatilie kwa karibu sana, tukio kama hili linadhaulisha hata jeshi, haiwezekani askari aliyepitia mafunzo apokonywe silaha kirahisi hivyo tena mchana kweupe mbele ya umati, hakika nchi inaenda kubaya, sijui hawa wanamtumikia nani na nai anawadanganya kiasi hiki. Narudia, kama ni ukweli, basi kuna tatizo katika jeshi la polisi, natamani Lyatonga arudi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani!
 
Liwalo na liwe! Dr Ulimboka akatekwa, siwezi shangaa ni serikali ya baba mwanaasha
 
The joke of the year! Yaani eti ulinzi mkali saaaaana kupeleka mtuhumiwa under 18? ambaye hana makeke wala utata kuwepo kwenye tukio na inajulikana alikuwa mpenzi wa Kanumba (RIP), lakini ulinzi lojoloooojo kwa mtuhumiwa wa mauaji ya kinyama yenye utata mkubwa ya huyu mwenyekiti (RIP) hadi askari kunyangánywa bunduki kisha eti baadaye ikatekelezwa?

Hivi sisi huwa hatuna public hearing mbele ya kitu kama kamati ya bunge kama wenzetu wanavyofanya? Ngoja mje msikie uchunguzi wa kina ulivyoendelea juu ya mauaji ktk ubalozi wa USA Libya. Huwezi kutegemea eti watu wakubali maelezo rahisi rahisi tu kuwa yakiluwa matokeo ya fujo na maandamano juu ya kumkashifu Mtume Mohammad! Kuna viongozi watawajibika!
 

Mleta habari hana makosa kabisa fikiria tena mkuu hapa issue ilitokea mahakamani na hata kama anahusu mauaji ya Kiongozi wa Chadema sijaona kama kuna haja ya Chama kutoa tamko kwa sababu watuhumiwa walitoroka wakiwa chini ya ulinzi wa Police so hapa Kamanda katoa uzi kama mtu wa kawaida na sio kichama,waswahili bana kwa kukurupuka wamo kweli kweli duuh!!
 

Waache wacheze makidamakida ila siku yao itakapofika watajibu wao mashitaka hayo. na baadae tusubiri kupata sinema nyingine ya muuaji wa Mwangosi.
 
Kweli CCM wamedhamiria kuwa Chama kikuu cha upinzani. Hakuwa atayezuia hilo. Mungu ndio kwanza kesha waacha, labda mungu wa wachawi
 
CCM bana, hii ndio sababu inayonifanya to keep my membership card. Last time niliendesha gari, Policcm alinisimamisha na kutaka leseni, nikamwonyeshea kadi ya CCM akaniachia. Bashe na Dr.K wametishiana bunduki, what next? Ditopile alikuwa mtuhumiwa wa mauaji, alipewa dhamana. Mafisadi, wala na wapokea Rushwa. CCM ni chaka la wahalifu
 

IGP hawezi kufatilia hili kwa sababu yeye binafsi ni kinara wa kufanya ukada wa CCM kupitia jeshi hili la polisi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 

Mkuu hapo nilipopafifisha umeniacha hoi!
 
Wakuu tumesikia habari za kutoroka kwa wafungwa wawili wakati wanatoka katika mahakama kuu kanda ya Arusha walipokwenda kusikilizwa kwa kesi yao ya mauaji.

Kulingana na mazingira ya tukio hili huu ni uzembe wa askari aliyekuwa anawalinda (kama ndiyo/sio toa sababu) au wafungwa hao walimzidi akili askari huyu? (kama ndiyo/sio) toa sababu kwa nini unafikiri hivyo.

Haya wana JF tujimwage.
 
Intelgensia inaposhindwa kufanya kazi katka mambo ya maslah kwa taifa na kungangania maslah ya SISIEM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…