Mauaji ya kigaidi Kenya

Mauaji ya kigaidi Kenya

Status
Not open for further replies.
Duh that is the dark side of islam. Nadhani hii dini ni kirusi, maani kiingia kwa mtu hakitoki mpaka kimuu au aue wengine na yeye afe. Lakini cha ajabu hawa waisla pia wanatofautiana sana wao kwa wao. Basi bwana inabidi kuzidi kupiga goti kumuomba Mungu aliye wa kweli (siyo ala wao) ili atuepushe hili balaa bongo

propaganda za muamerika na waitifaki wake dhidi ya waislamu na uislamu ndio iliyofikisha ulimwengu wa kuchukiana hapa tulipo. Walifanya ivo kuharibu taswira ya uislamu na waislamu kumbe ndio wakawa wanaupigia kampeni. Na ivoivo propaganda zenu hazitoiacha nchi yetu salama.
 
Wafundishwe nn? Matukio yanayotokea ni maagizo ya mtume wao. Waueni wote wasio amini ktk uislam, mungu wao amewapa mamlaka ya kuua! Waislam wengi ni wema lakini sio kwasabab ya misingi ya kitabu chao. It's just they're conscious of being a good human being. Tatizo sio waislam ila kitabu chao na Kama wote wangefuata yaliyoandikwa kwenye hicho kitabu ingekuwa armageddon.

unatishia amani ya nch
 
Foolish,wazeni mtaacha lini kugongewa wake na watoto wenu huko kwa wasiooa kuliko kusemea msivyovijua
 
Great thinkers,
Ukweli tukio la lililotokea Kenya ni la kusikitisha na ni la kulaaniwa na watu wa dini zote. Je suluhisho ni nini? Maana ukiangalia mazingira ya haya mashambulizi ni magumu kuyakwepa haswa kwa familia ambazo tumezoea kwenda mlimani city eti kuvinjarisha familia zetu. Sasa wakija bongo si ndiyo watatumaliza kwelikweli. Mi nashauri:

  1. Misikitini wawafundishe waislam kuwa na upendo kwa watu wasiokuwa waislam. Ili kuepusha mauji ya watu wasiokuwa na hatia
  2. .....

Ongezea au nikosoe,

tatixo sio miskiti tatizo ni kuvamia somalia
 
Wapo wanaojaribu kuwaonya waislamu wenzao wanaishiwa kuuawa au kumwagia tindikali lakini huwezi kuona ktk ukristo watu wakipingana na kuuana, mlisema wamarekani waondoke Iraq mpaka Leo hii mnauana Sunni na Shia, Syria na misri ni hivyo hivyo. Yugoslavia wakati waislamu wanauliwa ni wamarekani hao hao mnaowaita makafir waliokwenda kuwakomboa ndugu zenu hakuna hata taifa moja la kiislam lilokwenda kusaidia! Mpaka mkafanikiwa kujitenga, wamarekani hao hao ndio wanawapigania Chechnya wajitenge kutoka urusi.

Wewe upo na malengo maovu na chuki yako kwa uislamu haitousambaratisha uislamu. Kuwa mstaarabu ili dunia iwe sehemu ya amani. Unategemea nini baada ya fitna aliyoifanya amerika kwa Suni na Shia pale Iraq?
 
Mimi siamini kama walio uwa ni Magaidi wa Kisomali, ni Wakenya wwenyewe, sijui kama Sio mambo ya siasa, Uhuru kaiba kura za Odinga, Kamuuwa Prof Saitoti, sasa kasahau Kuwa yeye ni Bilionea na nusu au zaidi ya Ma Supermarket na Super Malls za Kenya ni zake.
 
Wewe upo na malengo maovu na chuki yako kwa uislamu haitousambaratisha uislamu. Kuwa mstaarabu ili dunia iwe sehemu ya amani. Unategemea nini baada ya fitna aliyoifanya amerika kwa Suni na Shia pale Iraq?
Wanaijua divided rule,ila wanajitia machizi ili waonekane wasemaji hapa jukwaani
 
Hakuna fitna yoyote aliyofanya America, ivi wewe unataka kuniambia mgeni anaweza kuwagombanisha na nduguyo?ninyi hampendani wenyewe tu, ila hamkosi wa kumlaumu.
 
poleni sana ndugu zetu kenya,ila nawashauri muangalie kwa makini utayari wa vyombo vyenu vya usalama,especially special forces,maana tukio limetokeajana saa sita na dk 50 mchana,mpaka sasa hivi bado hao magaidi hawajakamatwa.

Na sie bongo inabidi tujipange sawasawa kwa sababu tukio kama hilo linaweza kutokea hata bongo,

tukio kama hilo huwa linaitaji plan ya hari ya juu sana,na uelewa mpana sana katika nyanja mbalimbali,kwa wale waliosoma vitabu kama 90 minutes at entebe,kidnaping of the president,wanaweza kuelewa utete wa hari kama ya tukio hilo.
 

Attachments

  • article-2427892-1822E7C000000578-591_964x1296.jpg
    article-2427892-1822E7C000000578-591_964x1296.jpg
    213.1 KB · Views: 137
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom