Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 11,569
- 16,029
Great thinkers,
Ukweli tukio la lililotokea Kenya ni la kusikitisha na ni la kulaaniwa na watu wa dini zote. Je suluhisho ni nini? Maana ukiangalia mazingira ya haya mashambulizi ni magumu kuyakwepa haswa kwa familia ambazo tumezoea kwenda mlimani city eti kuvinjarisha familia zetu. Sasa wakija bongo si ndiyo watatumaliza kwelikweli. Mi nashauri:
Ongezea au nikosoe,

- Misikitini wawafundishe waislam kuwa na upendo kwa watu wasiokuwa waislam. Ili kuepusha mauji ya watu wasiokuwa na hatia
- .....
Ongezea au nikosoe,