Mauaji: Nini kinamfanya mtu aamue kuua?

Mauaji: Nini kinamfanya mtu aamue kuua?

Tazama hapo chini ya bandiko lako hili anayechekelea na kushangilia; mzoga mmoja uliowahi kuitwa Tlaatlaah!
Sijui kuhusu hili la huyo unaemuita mzoga
Nilipoacha kujibu hayo uliomaliza nayo katika mabandiko yako mawili ya mwisho kunielekezea mimi, nilijuwa yamekwisha.
Sasa naona unaniita tena hapa!
After kutapika kwa comment yangu ndio nimeshangazwa kwanini mpka utapike kwa jambo dogo hivi
Sijui maana yako ya ku'panic' ni nini. Sioni lolote la kufanya nipanic kwenye mada hii.

Mimi nilitoa ushauri tu, jinsi ulivyowasilisha mada yako, sikuwa na la ziada ya hapo.
Lakini naona ni kama unataka niendelee na malumbano.
Hakuna haja ya kuendelea na malumbano tokea comment za juu ulikua una ni attack ila nikawa najishusha tu haijatosha unanitapika

Ndio sasa nikaona nikuulize shida ni mpangilio mbaya wa hii mada tu au kuna lingine
 
Any bad history?

You have such a pure and innocent heart ndo maana huwa na....(siri)

In short kuna watu they're heartless, mimi mpk nifikie hatua ya kumuuwa mtu, labda atake kudhuru mtu wangu wa karibu... Hapo lazima niwe beast... Ila hivi hivi tuu sina huo upepo.. Eti mali, sijui kafara, sijui wadhifa siwezi kabisa
Mimi kwenye kafara natofautiana na wewe. Itokee nimepewa masharti nimtoe kafara adriz de mbusii ama mdogoee Jagina Al-mukheef Tanganian Malaria 2 wala sisiti chinja nakuwawahisha faster kwa Mudi huko.
 
Kuna watu wamezoea kuuwa yaani kama mtu aliyezoea punyeto hivi yaani anachukua kisu anakushika shingo anakuchinja taratiiibu kabisa huku ana fegi mdomoni na mfukoni ana konyagi ndogo wakati unarusharusha miguu ye anashushia ile konyagi akimaliza anachukua simu anampigia bosi deal done🏃🏃🏃
 
itakubidi umzoee tu,
maana saa zingine huyo mwalimu anajisahau na kujikuta kama vile yupo darasani anafundisha silabi:pedroP:
Mweleze kabla ya kuwa MZOGA; kazi yako hasa ilihusu nini?

Anajuwa kuwa wewe ndiye kinara wa wauaji anaowatumia Samia kuua waTanzania?
 
kisasi, wivu, uchoyo, tamaa, kujihami...ni %kubwa ya visabishi vinavyopelekea kuua mtu/watu.
 
Tazama hapo chini ya bandiko lako hili anayechekelea na kushangilia; mzoga mmoja uliowahi kuitwa Tlaatlaah!

Nilipoacha kujibu hayo uliomaliza nayo katika mabandiko yako mawili ya mwisho kunielekezea mimi, nilijuwa yamekwisha.
Sasa naona unaniita tena hapa!

Sijui maana yako ya ku'panic' ni nini. Sioni lolote la kufanya nipanic kwenye mada hii.

Mimi nilitoa ushauri tu, jinsi ulivyowasilisha mada yako, sikuwa na la ziada ya hapo.
Lakini naona ni kama unataka niendelee na malumbano.
Plz mwalimu, just relax, I respect you much,

and,
I think you are one of the most important and experienced stakeholders on the platform. And you know many JF stakeholders have a little challenge on how to organize arguments and even reply to comments from contributors to the relevant topic. And on the platform we always correct and adjust the layout, language, correct and incorrect words with great love. I think you have done well to give your opinions and suggestions against the relevant post, and it would be very nice if you could explain at least how the post would look, rather than just messing up the layout and leaving it as it is with useless mayhem.:NoGodNo:
 
Kuna watu wamezoea kuuwa yaani kama mtu aliyezoea punyeto hivi yaani anachukua kisu anakushika shingo anakuchinja taratiiibu kabisa huku ana fegi mdomoni na mfukoni ana konyagi ndogo wakati unarusharusha miguu ye anashushia ile konyagi akimaliza anachukua simu anampigia bosi deal done🏃🏃🏃
Noma sana
 
Sijui kuhusu hili la huyo unaemuita mzoga

After kutapika kwa comment yangu ndio nimeshangazwa kwanini mpka utapike kwa jambo dogo hivi

Hakuna haja ya kuendelea na malumbano tokea comment za juu ulikua una ni attack ila nikawa najishusha tu haijatosha unanitapika

Ndio sasa nikaona nikuulize shida ni mpangilio mbaya wa hii mada tu au kuna lingine
Naona unanihitaji sana kwenye mada hii.
Huko "kukutapika" ndiyo kitu gani hicho, maana sikielewi.
Inaonekana itanilazimu niwepo sana kwenye mada yako hii, kama hilo ndilo lengo lako.
 
Mweleze kabla ya kuwa MZOGA; kazi yako hasa ilihusu nini?

Anajuwa kuwa wewe ndiye kinara wa wauaji anaowatumia Samia kuua waTanzania?
Please forgive me teacher if I have wronged you. I respect you a lot despite your useless emotions, but as a Tanzanian, you are my blood brother with whom we only have different views, but we are children of one mother, that's mama Tanzania. :NoGodNo:
 
Plz mwalimu, just relax, I respect you much,

and,
I think you are one of the most important and experienced stakeholders on the platform. And you know many JF stakeholders have a little challenge on how to organize arguments and even reply to comments from contributors to the relevant topic. And on the platform we always correct and adjust the layout, language, correct and incorrect words with great love. I think you have done well to give your opinions and suggestions against the relevant post, and it would be very nice if you could explain at least how the post would look, rather than just messing up the layout and leaving it as it is with useless mayhem.:NoGodNo:
All this garbage from a rotting and stnking pig carcass!
 
Please forgive me teacher if I have wronged you. I respect you a lot despite your useless emotions, but as a Tanzanian, you are my blood brother with whom we only have different views, but we are children of one mother, that's mama Tanzania. :NoGodNo:
All the behavior and symptoms from a serial killer are clearly displayed in these few words used in the two lines above.
 
Inashangaza sana, wakati mimi hata mtu akinidai tu nikachelewa kulipa roho inakosa amani, mwingine anadiriki kuua
 
All the behavior and symptoms from a serial killer are clearly displayed in these few words used in the two lines above.
calm down then mwalimu,
your hypocritical emotions and anger have been heard and seen by the jf stakeholders, Okey? keep quite then mwalimu :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom