The blood that you have spilt is at work even when you're in the form of a rotting pig carcass!Plz mwalimu,
let you have a sip of water first to calm down and it will be more pleasant, right?.
And much worse is coming your way soon.
The blood that you have spilt is at work even when you're in the form of a rotting pig carcass!Plz mwalimu,
let you have a sip of water first to calm down and it will be more pleasant, right?.
"keep quite"!calm down then mwalimu,
your hypocritical emotions and anger have been heard and seen by the jf stakeholders, Okey? keep quite then mwalimu![]()
Gentleman,The blood that you have spilt is at work even when you're in the form of a rotting pig carcass!
And much worse is coming your way soon.

You always invoke the name of God, to cover up for the crimes you commit.Gentleman,
you don't need to ruin people's specific discussion with gossip that doesn't help you personally or others, unless that gossip only shows how divided you are in your heart, soul and mind.
I pray for God's blessings and grace to get out of that situation, Aimen![]()
Moral disengagementnini humfanya mtu aamue kumuua mtu mwingine?
Ooh okayMoral disengagement
SawaKISASI LAZIMA KILIPWE.
Hapana mkuu endelea tu issue nyingine endelea na TlaatlaahNaona unanihitaji sana kwenye mada hii.
Huko "kukutapika" ndiyo kitu gani hicho, maana sikielewi.
Inaonekana itanilazimu niwepo sana kwenye mada yako hii, kama hilo ndilo lengo lako.
Imagine inatishaInashangaza sana, wakati mimi hata mtu akinidai tu nikachelewa kulipa roho inakosa amani, mwingine anadiriki kuua
Shukrani mkuukitu kikubwa zaidi kinachoweza kufanya mtu aue mtu mwingine ni PESA watu wanapewa kazi na kulipwa hela nyingi. ukiachana na hilo kitu kingine ni kuwa na ghadhabu kubwa na kushindwa kujizuia kwasababu mtu kakufanyia kitu kikubwa kama kukudhulumu hela zako au mambo yanayofanana na hayo kwahiyo ukishindwa kujizuia lazima umuue.. adhabu kubwa unayoweza kumpa mtu ni kumuua hiyo ndo adhabu ya mwisho ndomana vitabu vya dini haviruhusu kuua wala serikali hairuhusu kuua
Ni kweliWauaji wengi ni watu wa kawaida tu ambao huwa hawana hata matatizo ya akili.
kama ulivyo gusia , ukifuatilia sababu za mauaji mengi lazima utakutana na sababu kama chuki binafsi anayokuwa nayo mtu tamaa ya pesa, itikadi, kulipiza kisasi au kufuata amri za wakubwa.
Umeeleza vizuri bro🫡Mtu anapoua kwa mara ya kwanza, akili huwa inaanza kuhalalisha alichokifanya na conscience inapungua sana, ndiyo maana siyo kila muuaji ni mgonjwa wa akili, na siyo kila mgonjwa wa akili anaweza kufanya mauaji.
In most cases, the cause is a combination of environmental influences, and personal decisions.
Swali fikirishi kakaBadala ya kujiuliza kwanini watu wanaua labda tujiulize ni nini kinaweza kumzuia mtu asiue?
Aisee inatakiwa uwe bandiduKuua inahitaji moyo sana na kichwani uwe umejaa mavi mengi sana.
Ndiye uliyemkabidhi kazi huyo Tlaatlaah; ambaye siku zote namtambua kuwa yeye ni mzoga wa nguruwe wenye mvundo?Hapana mkuu endelea tu issue nyingine endelea na Tlaatlaah
Sio bandindu, unatakiwa kichwani uwe umejaa mavi mengi sana.Aisee inatakiwa uwe bandidu
🥶🥶🥶🥶🥶Mimi binafsi damu inanitisha
Nikiona damu nyingi napata trauma kabisa
Kumkabidhi kazi gani mkuu😂😂Ndiye uliyemkabidhi kazi huyo Tlaatlaah;
Kwanini amekufanyaje?ambaye siku zote namtambua kuwa yeye ni mzoga wa nguruwe wenye mvundo?