ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 20,711
- 48,474
- Thread starter
- #61
Shukrani 🤝Huo ni uamzi wangu, siyo wako, "kuacha kufuatilia hii mada".
Kama hutaki niifuatilie, fanya uchawi nisiione humu jukwaani.
Sijakuandama, ninakueleza ukweli. kwamba mada yako ni mbovu.


