Mauaji: Nini kinamfanya mtu aamue kuua?

Mauaji: Nini kinamfanya mtu aamue kuua?

Hoja gani mkuu 'ShesRise', maana naona umechanganya maharage, makande, njegere, wali,n.k., ndani ya dishi hilo moja.

Maana yako ya "muuaji" ni nini?

Nikikulipa ujira unifikishie mzigo wangu nyumbani kwangu, mzigo ni wako au ni wangu?

Labda ingesaidia kidogo kufafanua mada yako ili ieleweke kwa wepesi.
Mimi ngoja nikupe mfano halisi kabisa:

Mzee Ally Mohamed Kibao aliyeuliwa kikatili kabisa.

Muuaji alikuwa ni aliyetoa amri huyo mzee auwawe; au hao wavuta bangi waliotoa roho yake na kuharibu maiti?

Ngoja nishauri: unapoandika mada kama hii, haisaidii kitu kutumia maneno meeeengi sana kama ulivyofanya hapa. Ingetosha tu kutumia mistari michache tu bila ya kumchosha msomaji wako, na kumchanganya akili.
Sikujua kama sijaeleweka japo naona kuna walioelewa

Asante kwa maoni🙏🙏🙏
 
Huyo aliyetumwa kuua
Ataishi kwa kuona maluweluwe mpaka mwisho wake
Hebu jaribu kutafuta,documentary ya "the ice Man" j.klukinski
Akihojiwa akiwa jela,alikuwa anatumwa na mafia boss kufanya kazi zao za kuua
Huyu malezi yake pia yalichangia kuwa hivyo,ila jamaa alikuwa ana ukichaa kichwani
Alikuwa ana mwambia mwandishi,mara nyingi huwa anaona maluweluwe
Sema na yeye alikuja kufia jela

Ova
Ahaa kumbe kuna wakati muuwaji nafsi inamsuta haya sawa
 
Huyo aliyetumwa kuua
Ataishi kwa kuona maluweluwe mpaka mwisho wake
Hebu jaribu kutafuta,documentary ya "the ice Man" j.klukinski
Akihojiwa akiwa jela,alikuwa anatumwa na mafia boss kufanya kazi zao za kuua
Huyu malezi yake pia yalichangia kuwa hivyo,ila jamaa alikuwa ana ukichaa kichwani
Alikuwa ana mwambia mwandishi,mara nyingi huwa anaona maluweluwe
Sema na yeye alikuja kufia jela

Ova
kufa utakufa tu gentleman kwa namna yako na wakati wako wako muafaka ambao anaujua tu, yeye aliekuumba.
So,
uwe unaona maruweruwe kwasababu ya kukatisha maisha ya wengine au uwe unaona kizunguzungu au kiarabukiarabu, kufa kila mja wa ALLAH, atakufa tu

tutumie zawadi ya uhai na maisha aliotujali Mungu kwa faida :CouldYouNot:
 
Hapa point yako ni ipi ?
Kuua unaona ni kawaida ?
 
Sikujua kama sijaeleweka japo naona kuna walioelewa

Asante kwa maoni🙏🙏🙏
Kichwa cha mada kinasema: "Mauaji: Nini kinamfanya mtu aamue kuua?"

Sasa nieleze mkuu 'ShesRise'; kama mada yako hii siyo kokoro (nyavu inayokamata kila takataka iliyomo majini wakati wa uvuvi).

Utaweza kujuwa kweli kila sababu ya mtu kuua au kuuliwa na mwingine katika mjadala kama huu?
 
kufa utakufa tu gentleman kwa namna yako na wakati wako wako muafaka ambao anaujua tu, yeye aliekuumba.
So,
uwe unaona maruweruwe kwasababu ya kukatisha maisha ya wengine au uwe unaona kizunguzungu au kiarabukiarabu, kufa kila mja wa ALLAH, atakufa tu

tutumie zawadi ya uhai na maisha aliotujali Mungu kwa faida :CouldYouNot:
Ndiyo uzuri hapo hatuwezi ishi milele,unafikiri kwa mwanadam alivyokuwa na kiburi angeishi milele ingekuwaje?

Ova
 
Kichwa cha mada kinasema: "Mauaji: Nini kinamfanya mtu aamue kuua?"

Sasa nieleze mkuu 'ShesRise'; kama mada yako hii siyo kokoro (nyavu inayokamata kila takataka iliyomo majini wakati wa uvuvi).

Utaweza kujuwa kweli kila sababu ya mtu kuua au kuuliwa na mwingine katika mjadala kama huu?
Mkuu tafadhari nisamehe 🙏
Sijui kwanini unaniandama hivi 🤔
Niwie radhi 🙌

Unaweza kuacha kufatilia hii mada🤝
 
Mkuu tafadhari nisamehe 🙏
Sijui kwanini unaniandama hivi 🤔
Niwie radhi 🙌

Unaweza kuacha kufatilia hii mada🤝
Huo ni uamzi wangu, siyo wako, "kuacha kufuatilia hii mada".
Kama hutaki niifuatilie, fanya uchawi nisiione humu jukwaani.

Sijakuandama, ninakueleza ukweli. kwamba mada yako ni mbovu.
 
Hapana siwezi kuua hata panya sembuse binadamu
huyo Samia aliyasema haya maneno mwenyewe.
Sasa na wewe unayarudia humu humu!
Sasa naanza kuona tabia zilezile alizonazo Samia, zile za ulaghai mwingi ndani yako.
 
Back
Top Bottom