Ulivyoandika tu unaonesha umeandika kwa chuki kubwa sana. Huo ni ujinga tu,hakuna zaidi.Una nondo kweli kweli, na huyo Alah akujaaalie kuwa bikra huko peponi na upate janamume mujahdin la Nigeria shababi kweli kweli
Naam, hilo wala halina ubishi. Hao na Hitler ambae alikuwa mkatoliki, hawa tofauti. Au yule askari wa juzi aliyemuua Mtanzania Marekani, wana tofauti ipi?Hao waliofanya mauaji ni wahalifu tu, hakuna dini inayohalalisha binadamu kuchomwa moto akiwa hai.
Kwa hiyo watakabidhiwa mabikra wao 72 kila mmoja ili wacheze nao pembeni ya vijito vya maji matamu?Hawana akili.
So Kwanini mnakosa hekma?je mungu wenu ndivo anavyo wafunza kubehave?Tena Waislam usichezee wala kutoa maneno machafu (matusi)kabisa kwa Mitume yao na kuwakejeli, unajitafutia uhasama mwenyewe. Utatafuta pakutokea, labda ujifiche nyuma ya mtandao tu, kuna ambao wakikujuwa, unalo.
Uliona wafuasi wake wameenda kuua watu wakimpigania kama wafuasi wa Allah wanavyompigania mungu wao?wewe si ndio unasema yesu mungu mbona alitundikwa msalabani akashindwa kujiokoa na kuanza kulia kama mtoto
Uongo mtupu.Kama kweli utaishi kwa kufuata amri za Mungu halafu ufariki,itwezekanaje huyohuyo Mungu akuandalie ngono na starehe za hovyo?Mkuu hvi huo mchongo kuwa ndgu zetu wameandaliwa mabikira 72 ni real upo kwenye maandiko yao..!???
Na ni bikira 72 kwa kila kichwa.!?...
Kama ni hivo basi hio Dini ina Maunono sana hapo baadae..
Ulivyoandika tu unaonesha umeandika kwa chuki kubwa sana. Huo ni ujinga tu,hakuna zaidi.
Nakuuuliza swali, Yesu alikuwa dini gani?
Bint alikuwa anasisitiza groups liwe la kimasomo zaidi, wapuuzi wale wakitaka liwe na chombezo za kidini, nimeumia sana kwa #DUMBNESS ya hao wapuuzi it's a shameful acts. Praise#killer#satan#idea!Tena Waislam usichezee wala kutoa maneno machafu (matusi)kabisa kwa Mitume yao na kuwakejeli, unajitafutia uhasama mwenyewe. Utatafuta pakutokea, labda ujifiche nyuma ya mtandao tu, kuna ambao wakikujuwa, unalo.
Kama hujaelewa, hauna uwezo wa kuelewa, Jipime.Ni lugha gani hiyo uliyofundishwa shule?.
Huna unaloliewa. Kipimo kidogo sana umejionesha jinsi ulivyo finyu. Kama huamini kuwa u poyoyo, weka ushahidi wako.Alikuwa Myahudi
Wewe kama huamini alikuwa Mtume Kweli, tupo Waislaam billioni mbili leo hii tunaoamini alikuwa mtume kweli. Tatizo lako nini?Waafrika kwa kweli hata Mungu anatushangaa kwa ujinga tulionao......tunashabikia masuala ya Mohammed wakati hakuwa mtume kweli, alijipachika yeye mwenyewe kwa matakwa yake. Mtu akihoji eti anauliwa, unaua mtu (mwafrika mwenzako) kwa kupinga usanii?
Uongo tu. Weka ushahidi wa uyasemayo.Bint alikuwa anasisitiza groups liwe la kimasomo zaidi, wapuuzi wale wakitaka liwe na chombezo za kidini, nimeumia sana kwa #DUMBNESS ya hao wapuuzi it's a shameful acts. Praise#killer#satan#idea!
Dah, kuna mengi mno siwezi yaweka hapa.Uongo tu. Weka ushahidi wa uyasemayo.
Sasa huo ndio ushahidi au utumbo mmoja kama wewe kajiandikia tu?
Yaani Mtume Mudy ana raha sana, huko alipo anafahidi Mabikira 72 na mifereji inayotiririsha mvinyo halafu huku duniani anapiganiwa.Mwanafunzi wa kike Debora Samuel (baadhi ya taarifa kaitwa Debora Yakubu) wa chuo cha elimu cha Shehu Shagari kilichopo Sokoto state nchini Nigeria ameuwawa na wanafunzi wenzake kwa kupigwa mawe na kisha mwili wake kuchomwa moto. Wanafunzi hao waliotekeleza mauaji walimtuhumu hayati kwa kitendo cha kumdhihaki/kumkejeli mtume kupitia voice message aliyotuma kwenye group la WhatsApp akiwazuia wenzake kutuma taarifa za dini kwenye group lililotengenezwa kwa ajili ya maswala ya kozi wanayosomea tu.
Baadhi ya picha za tukio ikiwemo ya kijana akionyesha kiberiti alichotumia kuwasha moto kuchoma mwili wa Debora pamoja na picha inayoonyesha maneno ambayo Debora alitamka kwenye hiyo voice message hizo apo.View attachment 2223080View attachment 2223079View attachment 2223082View attachment 2223081
Hii ndio Deen ya HakhWana sababu nyingine wamejificha kwenye deen