Matuta morogoro road: Hongera rais kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matuta morogoro road: Hongera rais kikwete

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Nov 3, 2008.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,595
  Likes Received: 5,776
  Trophy Points: 280
  Huuuuuuu wiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
  kweli watanzania hataaaaaaaaaaaaaaaa uwape million miaaaaaaaaa
  hawaridhiki hata kidogo!!!!!!!!!!!!mkinyimwa mnapiga kelele hamsikiki jamani
  huyu rais kwa hili awalambe miguu???nimepita barabara ya morogoro road nimefurahi sana kuona matuta yakinyauka kila baada ya kim kadhaa nan kufanya yale makelele na vilio vya kila siku kuisha kabisa !!jamani mi ni mkazi wa kimara bucha hakika ni swala la kufurahi..sana

  jamani nakumbuka kabla sijasafiri nilikuwa kila baada ya siku mbili lazima tulie pale mtahani mpaka masikini wakamsingizia mzee wa watu mmoja ana garage yake hapa bucha barabarani..hakika anaesoma na kujua bucha ilivyi ni swala la kuandamana na kumshukuru raisi kwa hili jambo!!!kuna vifo vya mwisho nilivyoona kabla ya kusafiri kuna house girl akiwa na watoto wa shule 2
  akafia pale bucha barabarani fresh !!yule mama sijui hali yake ilivyokuwa lakini ilikuwa ni msiba wa ajabu kwa kweli yule dada tukamzika na wale watoto tukapeleka moshi!!!

  kuna hoja napenda kuweka wazi kwa wale waliokuwa wakipiga makelele ya kwanini yamewekwa pale!!!!swala la ajali ya magari kugongana najisikia uchi mtu kulinganisha ajali ya magari na vifo vya binadamu!!!swala la kugongana hilo ni swala lingine na pia napenda kuwasaidia swala la TANROADS kutoweka alama za kuonyesha matuta ya reflect.nafikiri kama wataangalia pembeni kabla ya kuon matuta kuna alama zinaonyesha kama umelewa unaitaji rangi zikuonyeshe tuta nahisi unaitajika kuwasalimia wale jamaa pale kwenye matuta
  wajue ama ulikuwa auoko makini au uko bwiiiiiiiii.hilo ni swala la utendaji lakini
  limefupisha maisha ya watanznia wengi
  nawakilisha
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2008
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  merge na ile
   
 3. M

  Mama JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Mama Miaaaa
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,595
  Likes Received: 5,776
  Trophy Points: 280
  Sema mama upo
  ushapiga kura????????????kumpa obama mi tayari!!!!!
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,595
  Likes Received: 5,776
  Trophy Points: 280
  Ila mambo magumu !!!!!!!kimtindo!!!!!!
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,595
  Likes Received: 5,776
  Trophy Points: 280
  Sema mama upo ??????????ushapiga kura mzazi tunrudishe ponjoro
  au tunpe njaluo mwenzetu????????????
   
 7. M

  Mama JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Mi Mtanzania kura napiga 2010. Ila Mama Mia huwa unaniacha hoi sometimes. Taal taal....
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Nov 19, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,595
  Likes Received: 5,776
  Trophy Points: 280
  wauh!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 9. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #9
  Nov 19, 2008
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Raisi anahusika mpaka masuala ya matuta barabarani du! bongo si mchezo!!!!!!!!!
   
 10. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #10
  Nov 19, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  yeye mwenyewe ni ngumu sana kupitia barabara hiyo huwa anapita ile nyingine ya banana kwenda kibaha au wakati wa kurudi
   
 11. Utamaduni

  Utamaduni JF-Expert Member

  #11
  Nov 20, 2008
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 1,198
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  Nadhani mimi macho yangu yaliacha kuona vitu vizuri, na hili kwa kweli sijilaumu.

  Sawa wameweka matuta ni vizuri sana tena sana kuzuia ajali. Lakini hao wahusika na Barabara zaidi ya kuweka alama kuwa mbele kuna tuta katika morogoro road ya huku mjini, ukioenda mbele huko unalia. Mfano hai ni huko mbele baada ya kuipita Mikumi na Kitonga kama unaelekea kusini, ile njia haikuwa na matuta, nimepita last wiki nimekuta ina matuta lakini bahati mbaya hawajaweka alama itakayomsaidia dereva ajue mbele kuna tuta, hali hiyo ilitupelekea sisi tuliosafiri usiku kugonga matuta ktk speed ile ile hali iliyotaka kusababisha ajali. maana usifanye mchezo unalivaa tuta kwa spidi 70 au zaidi, ni nusu kifo kifo tu.

  otherwise hongera zao
   
 12. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #12
  Nov 20, 2008
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Maoni yangu;

  Napenda nimpongezee JK kwa kuamuru matuta yawekwe barabara zote TZ! Hata na hivyo sidhani kama hii ni suluhu ya kudumu, ushauri wangu serikali wangejitahidi sana '' kuweka matuta hayo kwenye vichwa na akili za madereva wa kiTZ'' tuhakikishe mtu hapewi leseni kama haja pitia mafunzo maalum ya udereva, na huko kwenye vyuo vya udereva mitaala yao uboreshwe zaidi kuaccommodate vizuri elimu ya usalama barabarani!

  Suala la miundo mbinu nalo linachangia sana ajali hizo, barabara zetu zimejengwa bila mpangilio maalum or niseme miji yetu haija pangwa......! barabara zetu kuu zinakatisha katikati ya makazi ya watu, wakati zinajengwa hakuna kufikiria, location ya maduka (ambayo ni holela sana TZ), sehemu za ibada, mashule, masoko, vituo vya basi etc! Kwa mfano, lile eneo la bucha ukiangalia watu walikuwa wanapata ajali either wakati wameshuka kwenye daladala kuvuka upande wa pili kwenda kwenye makazi yao au kinyume chake, au wanaenda sokoni au shuleni au kanisani etc sasa wajenzi wa barabara wangefikiria hayo kwa kushirikiana na watu wamipngo miji, ajali hizo hazingetokea kiasi hicho!

  Tukifikiria namna ya kupunguza ajali barabarani ni kwa kuweka matuta, one day tutajikuta barabara zote zimejamaa matuta kila baada ya hata mita mia, kwa sababu miji yetu inakua kwa kasi kubwa kiasi kwamba Dar - Moro Road karibia imejaa nyumba toka Dar mpaka Chalinze...tell me tutaweka matuta barabarabi mpaka wapi na mpaka lini?
   
Loading...