Matusi Redioni

au we nn ndo kibonde nini mbona unang'ang'ania hiyo audio clip au wewe ujasikiliza hicho kipindi ka mimi aiwezekani kila mtu amponde yeye (kibonde)..
 
Kutukana matusi kwenye media ambayo huna udhibiti wa wapi isikilizwe ni upunguani.

Kuwa controversial si tatizo, lakini si kwa extremity ya MATUSI!...hapa lazima tukubali kuwa ka'misbehave, na tusishabikie matusi...hii ni Tanzania na hatujazoeshwa kulishwa matusi ya nguoni kwa njia ya redio!

Upenzi kwa mtangazaji ni mzuri, lakini inapofikia anabomoa jamii ni lazima tuwe na guts za kumchana, na kuzi'alert mamlaka husika!

Nawasilisha.


 

Unayo audio maze?
 
Hayo ya yeye kuchangia kupotosha jamii ni maoni yako na una uhuru na haki ya kuwa na kutoa maoni kama hayo. Vivyo hivyo, kama ilivyo kwako na watu wengine, Kibs naye ana uhuru na haki ya kuwa na maoni yake na kuyatoa bila wasiwasi wowote ule.

Ametoa maoni ,ametukana?
 


Unasema hakuna ratings halafu unasema wasikilizaji wanaongezeka umetumia kigezo gani
 

Nadhani watu waasahu pia clouds fm yao style yake ya utagazaji ambayo sio too official au to strict rules Ukitaka Clouds watangaze kama TBC au radio one basi wasingekuwa na bradn yao tofauti.

But kama kweli kasema hilo neno ataomba radhi othwerwise Preta Piga simu TCRA ukilalamika. waambie ulichosikia. Wachukue malamiko yako na wakumbie nini watafanya. Haya saidia kuchukua zinazostahili mpendwa
 

Na wakitaka kuzidisha shinikizo waende tu hapo kwenye ofisi zao Mwenge/ Mikocheni. Wapige kambi na mabango yao mpaka Kibonde atie akili.
 
Unayo audio?
Kama watu wanne or more wanaconfess kuwa wamesikia, na bado mtu anataka audio!!...should we take that yeye ana masikio ya dhahabu au?
Hii ndiyo shida ya kuwapa watu shiing' alfu 3 ili wakutajetaje kwenye vipindi...tunakuwa vipofu!
 

itabidi nifanye hivyo....halafu ile twisheni nitaanza rasmi jumapili, coz ningekuwa nimeshaanza ningejua namna ya kuitafuta na kuiweka hiyo audio hapa
 
kutukana sio mara ya kwanza
sasa anarudia tu..
 
mimi nilisikiliza kipindi cha jahazi , and to be honest kauli niliyoisikia ni "kafanye kazi kwa mamako" lakini kwa kuwa aliitamka kwa haraka sana ni wazi kuwa kwa msikilizaji aliyekuwa haja concentrate na kipindi kauli hii ilisikika kama tusi la mama.
 
katika radio nisizozipenda hiyo ni moja wapo TCRA fungilia mbali hiyo
 

Aaah! kaka Kipanya na Fina Mango was my favorite presenters bila kusikiliza p/break fast siku yangu ilikuwa haijaisha ....
 
itabidi nifanye hivyo....halafu ile twisheni nitaanza rasmi jumapili, coz ningekuwa nimeshaanza ningejua namna ya kuitafuta na kuiweka hiyo audio hapa

Alafu we mjanja mjanja sana kuzidi hata mwalimu. sijui itakuwaje. :A S-rose: We Ukija usisahau "KICHONGEO " chako maana hii KALAMU " yangu niliyonayo na tutakayotumia ina matatizo

Muhimu.
Wapigie simu TCRA bana unajua wenyewe wanaweza kuwa hawajaskiia sasa tusi assume tu wahusika wamesikia. Ongea na muhusika wa TCRA na wenyewe tuwaweke wente rekodi ke majibu watakayotoa . Omba kitengo cha kuwasilisha malalamiko. Hivyo ndiyo tunatakiwa kuwajibishana sisi kwa sisi

Muhimu 4 x 4 x far
Alafu Soma na hiyo PM usisingizie tena imeliwa na Virus
 

Unaona sasa? Unaona sasa?

Ndiyo maana mimi nimesema nataka audio clip nisikilize mwenyewe kwa masikio yangu.

Sasa ndugu 'ambili' wewe unasema hakutukana lile tusi ambalo anadaiwa kutukana. Umekinzana na alichodai Preta.

I am reserving my judgment until I hear the audio clip!
 

Endeleeni kutupa ushahidi ambao hatukusikiliza hicho kipindi maana hukumu zinazotelewa hapa nyingine ni kama 'tunafundishwa' kumchukia mtu..
 
Acha uongo, hata mimi pia nimesikiliza, hakuna sehem aliyotukana kama unavosema, hata kama angelikua ni mjinga kiasi gani asingeweza kutukana hilo tusi on air, punguza chuki.
Wewe ndio kibonde nini!? unayetetea ujinga.
Ni kweli kabisa katukana nimemsikia hivyo hivyo Preta alivyoitoa.
Shame on you.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…