Elections 2010 Matusi au 'tuhuma' katika kampeni?

kuna ambalo amekosea hapo?.....me i see GREEN.....! GREEN LIGHT......GREEN MEANS GO.....KINANA GO.....TALK POINTS NOT PEOPLE...WHAT WILL YOU DO...AND NOT WHAT OTHERS DIDNT.....! TALK WHAT GOOD YOU DID.....AND NOT WHAT OTHERS FAILURES....!
MWANAMUME RIJALI HUZUNGUMZIA ATAKAYOMFANYIA MWALI SIO KUONGELEA MADHAIFU YA WANAUME WENGINE.....AONGELEAYE MADHAIFU YA MWINGINE HUYO DOMO ZEGE HANA SERA...(HATA KAMA MADHAIFU KWELI YAPO)
 
Taarifa ya ITV nayo wametangaza:

- Kinana anadai Kuzusha; Kukebehi; Kuonyesha dharau vyote haviruhusiwi

- CHADEMA Wamezua, wameshutumu, wamedharau

- Wamehusicha CCM na EPA

Huyu Jamaa anaonekana ametulia na yuko so confident as if anahold nguvu zote za CCM . . . .
 
Unafanana sana na Bi Sophia Simba, nyie ni mapacha?
 
Taarifa ya ITV nayo wametangaza:

- Kinana anadai Kuzusha; Kukebehi; Kuonyesha dharau vyote haviruhusiwi

- CHADEMA Wamezua, wameshutumu, wamedharau

- Wamehusicha CCM na EPA

Huyu Jamaa anaonekana ametulia na yuko so confident as if anahold nguvu zote za CCM . . . .

Hivi uraia w Kinana na Somalia umefikia wapi?
 
Hayo matusi yanayodaiwa ni yapi? Kuna anayejua matusi yanayozungumziwa?

Au ni ile sehemu katika hotuba ambayo muongeaji alidai "Mwali wetu sukari yake imeshuka na sasa Bw. harusi anatakiwa akaipandishe na kumtoa Ikulu" (Not exactly words but in same lines) . . . .

Sina uhakika kama hayo ni matusi au lugha isiyo ya Kistaarabu.
 
Taarifa ya ITV nayo wametangaza:

- Kinana anadai Kuzusha; Kukebehi; Kuonyesha dharau vyote haviruhusiwi

- CHADEMA Wamezua, wameshutumu, wamedharau

- Wamehusicha CCM na EPA

Huyu Jamaa anaonekana ametulia na yuko so confident as if anahold nguvu zote za CCM . . . .

Toka lini kebehi na dharau zimekatazwa kwenye siasa? Na anasema haviruhusiwi, haviruhusiwi kwa mujibu wa nani? Yaani hawa jamaa wanalialia utadhani vitoto vidogo. Hivi kweli wanadhani siasa ni picnic? Wanacheza hawa....
 
yaani huyu Kinana ndio sifuri kabisa ni mara mia angekaa kimya...mbona haongelei mgombea wao alipovunja sheria ya uchaguzi amabayo kaisaini yete mwenyewe kwa mbwembwe
 
Kama kuna wezi wengine wa EPA ambao hawajafikishwa mahakamani, je Mzee Kinana anatuambia wasiguswe hao kwa sababu wenzi wao tayari wana kesi mahakamani?
 
Katika Taarifa ya Habari ya Channel 10 na TBC1 Meneja wa Kampeni wa CCM Abdulhaman Kinana amedai:

1. CHADEMA wamevunja maadili waliyosaini kwa kutumia lugha isiyo ya kistaarabu

2. Marando ni Mwanasheria Kaongelea mambo ya EPA yaliyo mahakamani kinyume na Ethics za Taaluma

3. CCM haiwezi kuongelea mambo yaliyo Mahakamani

4. Ni vema kutumia lugha isiyo ya matusi ili hata baada ya uchaguzi viongozi waendelee kuongea pamoja badala ya kukwepana.

5. Mbatia wa NCCR-Mageuzi naye anadai vyama viongelee hoja na si Watu - Kuzindua Kampeni baada ya Ramadhani (Mfungo)

Sioni kama Slaa kafanya kosa, it is just calling a spade a spade and not a big spoon!
 
wao wanadhani siasa ni sawa na kwenda kucheza KIDUKU..siasa sio kuchekacheka ..mwaka huu ngoma nzito kazi mnayo...Kama mgombea huyu katenda maendeleo kwa level mnayozungumza mbona mnapiga kampeni za hela nyingi sana whyyyyy
 
Kusema kuwa Mkapa na Lowassa walishiriki katika upangaji na uporaji wa fedha za EPA si lugha ya kistaarabu. Kusema kuwa Kikwete alisaini mikataba mibovu ya madini mwaka 1994 si lugha ya kistaarabu. Kusema kuwa Kikwete amesema atawalipa fidia wahanga wa waliozikwa hai
katika mgodi wa Bulyankulu si lugha ya kistaarabu. Kusema kidumu chama cha mapinduzi ni lugha ya kistaarabu. Mmeelewa?
 
Mpuuzeni Kinana kwa Sababu ni Mpuuzi

tena kwa maneno yake ya kijinga haya ndo watu tutamporomoshea mitusi haswa aseme vizuri katukanwa na huo uozo wao CCM...mbona JK anazungumzia jinsi walivoshughulikia issue za UFISADI wakati kuna kesi ziko mahakamani......hawa watu sijui ni walevi mi hata sielewi
 
Taarifa ya ITV nayo wametangaza:

- Kinana anadai Kuzusha; Kukebehi; Kuonyesha dharau vyote haviruhusiwi

- CHADEMA Wamezua, wameshutumu, wamedharau

- Wamehusicha CCM na EPA

Huyu Jamaa anaonekana ametulia na yuko so confident as if anahold nguvu zote za CCM . . . .

Hana wasiwasi uraia wameshampa, taabu iko kwangu mimi na wengineo ambao mafaili yetu yakiitwa sijui tutapelekwa kambi ipi ya wakimbizi
 
Back
Top Bottom