Matured Christian Man for Marriage

Status
Not open for further replies.
Wewe unaamini huyu Ni wakike anatafuta mume kweli?
Akili yake na malezi yake vipo sawa vyote?
Sijui jinsia yake Sina uhakika
Ila Kwa naman anavyobaehave kadribanavyoendelea ndio inaleta shaka
Haendani na vigezo vya kuwa born again.hana hekima ya maneno.
Ukiwa insulted chagua ukimya,ni busara na hekima pia.
 
Sometimes age is just a number kwakuwa being in right place at right time .

Unafikiria hiyo masters wangapi wanaweza Ku-afford kuisoma ?

Siku zote ukiwa unatoka Familia bora ur future will shine and be bright .

Kasoma Masters maandishi matatu USA .

Kaolewa na mfanyakazi kutoka kwa CAG .

Ukifatilia hapo is about network , family and etc .

Wazo lako ni bora kwa wale wanaotoka good family with high income
 
Sawa mkuu ila mwanamke umri umeenda unakuta hana ujuzi wala elimu. Au hata kama ana elimu hana kazi na yupo kwao tu na hana utaalamu hata wa kushona nguo wala kufuga kuku. Huyu unadhani nani anamhudumia ? Ni ngumu sana kumshawishi mwanaume mwenye uwezo amuweke ndani. Labda ambao wana mizigo mizito na migumu.
 
Mwaka jana mercy ulikuwa na miaka 35, sasahivi una miaka 30! Au sijaelewa!
 
Una watoto wangapi? Mbona wewe hujasema?
 
Kwa gubu hili, huambiliki ndio maana unarandaranda mitandaoni. Baki na gubu lako hadi utakapotaka anaepumua tu. We ungekuwa born again si ungepata huko kanisani kwako ila gubu dada ndio maana unakimbiwa.
Duh, Wazaramo hamna break kwenye midomo yenu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…