Matured Christian Man for Marriage

Status
Not open for further replies.
Wanawake sijui mnaotaga ndoto gani. Yaani una miaka 30 halafu unaweka vigezo utadhani una early twenties. Haya ukimpata na akakuchumbia njoo inbox nitakuchangia milioni mbili kwenye harusi. Kiufupi ukipata mwanaume kwa huo umri wako mwenye vigezo ulivyotaja nipo pale niite 🐕 koko
 
Ana Uzi wake wa 2024 ..
Karudi tena 2025. ..
Si unajua wanajukwaa sisi tunafukua makaburi tu ..tunakuambia tu rejelea uzi wako huu...halafu tunakaa pembeni
Namtakia Kila la heri.ila Kwa mwanaume mpenda amani,hapa lazima awe na hofu
Ndoa ni kifungo na sio biashara ya ubia sijui unaingia ukiamua unajitoa kirahisi tu
 
Huyu akijichanganya vijana chapeni piten hvi

No mercy
Atampata wale wanaosimamia ukucha Hadi Kona ya kitanda unakabiwa hapo ni kiuno tu kinazunguka kinaenda mbele na nyuma .. halafu anabwagwa kama gunia la mchele...kuoa mchezo kipindi hiki. ...?!
 
Dada kama hujaolewa bora nikupe wewe kuliko mtoa mada.
Unajielewa sana
Don't take it serious mkuu sio Uzi wangu huu....anyway muhusika ndo huyo umemuona?
Mi nachangamsha genge tu mwaya ila kiukweli huyu dada anakoseaa,nsiwe mnafki!
Majibu yake yanaweza kuwarudisha nyuma wenye Nia njema akaambulia wahuni huko pm
 
Khaaa... Ngoja tuone..

Maana yake wewe ndio unataka kuoa sasa...Inaelekea wewe ni mkorofi sana..
Pengine ni mwanamke mwenye UUME...tutajuaje...Dunia hii shekhe...mana si kwa mitusi inayomtoka
 
una chura?
 
All the best

30s ndo umri gani just be specific and clear either 35 or 32 n.k
 
Kama upo serious kweli ondoa haya masharti mawili then nitakuja inbox
 
Weka namba mkuu pia ukiongeza na picha sio vibaya....
 
30s maana yake ni miaka kati ya 30-39.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…