Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,937
Kwann Kwake Imekuwa Swala Unique Kwan Hakuna Mabaloz Wengine Ambao Wanastahili Kukalibishwa....???
Nimeitafakari user ID yako... Kisha nikalinganisha na ulichoandika.... Nimepata jibu la kushangaza... Lakini kwa faida yako ni kwamba kuna vingi vya kutafakari hapo zaidi ya kichwa cha habari na pichaWewe binafsi amekusaliti nini? Kwanini msiseme chama kilimsaliti yeye maana mliowakaribisha siku zote aliwaita walafi wanakwiba mali za Taifa? Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni...Jamaa alikijenga sana chama. Sasa hivi chama kinasubiri matukio ili waonekane wapo. Zamani walikuwa wanayatengeneza
Hii picha inachekesha nikimuangalia huyu mzee wangu wa zanzibarKamchezo alimkataaView attachment 720894
Shukran [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nadhani tatizo nyota
Very sad
Am not a genius to understand what you written about. [emoji20]
Mmekutana mzungumzaji wa kingereza cha kitaa na wewe wa kingereza cha kwenye vitabuMkuu andika hata kwa kiswahili inauma kuandika kwa lugha ya malkia afu hata tenses hujui duh! Samahani lakini! Ukiandika neno written kuna kitu wanaita helping verb nakumbuka form two miaka ya 80!!
Safi kabisa!!! Yale aliyoyaita mwenyekiti wa bavicha "makarai" kweli ni makarai!!! Huyu mzee huwezi kumkosea heshima! Wenye akili sober wanajua sasahivi chama kiko kwenye hali mbovu kuliko wakati wowote sababu hamna vichwa vyenye akili kama hiki.Wewe binafsi amekusaliti nini? Kwanini msiseme chama kilimsaliti yeye maana mliowakaribisha siku zote aliwaita walafi wanakwiba mali za Taifa? Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni...Jamaa alikijenga sana chama. Sasa hivi chama kinasubiri matukio ili waonekane wapo. Zamani walikuwa wanayatengeneza
Hiki kingereza cha nchi gani "very" ina double rr!!!?? Muwe mnakaa hata kimya kuficha ujuajiVery×
Verry√
You written×
You have written√
Lipumba yeye amepewa ofisi za Buguruni,Hivi Lipumba yeye hajapewa ubalozi?
Hapa utaambulia matusi tu. Ila umeongea ukweli kabisa wahaya wanasema umeongea FAKTI.Wewe binafsi amekusaliti nini? Kwanini msiseme chama kilimsaliti yeye maana mliowakaribisha siku zote aliwaita walafi wanakwiba mali za Taifa? Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni...Jamaa alikijenga sana chama. Sasa hivi chama kinasubiri matukio ili waonekane wapo. Zamani walikuwa wanayatengeneza
Hivi Lipumba yeye hajapewa ubalozi?