[emoji23][emoji23] nakugawa..si kwa swali iloBalozi wa nyumba kumi au
Kweli jamani nauliza mana kuna ubalozi wa aina nyingi[emoji23][emoji23] nakugawa..si kwa swali ilo
Mkuu andika hata kwa kiswahili inauma kuandika kwa lugha ya malkia afu hata tenses hujui duh! Samahani lakini! Ukiandika neno written kuna kitu wanaita helping verb nakumbuka form two miaka ya 80!!Very sad
Am not a genius to understand what you written about. [emoji20]
Pole mkuuMkuu andika hata kwa kiswahili inauma kuandika kwa lugha ya malkia afu hata tenses hujui duh! Samahani lakini! Ukiandika neno written kuna kitu wanaita helping verb nakumbuka form two miaka ya 80!!
Dhamira huongea nasi.. Hutuhoji... Hutusuta kwa sauti isiyosikika... Kimya kimya kabisa View attachment 720660