Captain 22175
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 304
- 494
7 mala 7 Toa 23Maandalizi ya 26
7 mala 7 Toa 23Maandalizi ya 26
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] JF is never boring.... Kapata kilema!? kaupata ubalozi akiwa wapi!? Kama nani!? Kwanini!?.... Learn to see things beyond normal perceptionDr. Slaa ni kisiki hamumuwezi. Pia alipo kama balozi anawakilisha nchi na sio chama, hivyo hata lisu ama mbowe anaweza kuteuliwa kuwa balozi so kuteuliwa kwake msiseme msaliti ila yeye alijiondoa baada ya kusalitiwa na mbowe. Maana huyu mzee kakipigania chadema hadi kapata ulemavu. So huyu mzee namheshimu sana binafsi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nyau.weBalozi wa nyumba kumi au
[emoji3][emoji3][emoji3] Si unajuwa mabalozi wapo wengi nimeuliza tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] nyau.we
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] Si unajuwa mabalozi wapo wengi nimeuliza tu
MAneno meengi..mambo ya mali yameingiaje!!?Hapana siye ila huyo unayemuita DJ kakuzidi kila kitu katika maisha na umaarufu na Mali alizokuwa nazo huzifikii hata nukta
Twende kiroho zaidii...hivi dhamira kusuta, huwa ni nafsi ndio inasuta au ni kitu gani?Dhamira huongea nasi.. Hutuhoji... Hutusuta kwa sauti isiyosikika... Kimya kimya kabisa View attachment 720660
FactDr. Slaa ni kisiki hamumuwezi. Pia alipo kama balozi anawakilisha nchi na sio chama, hivyo hata lisu ama mbowe anaweza kuteuliwa kuwa balozi so kuteuliwa kwake msiseme msaliti ila yeye alijiondoa baada ya kusalitiwa na mbowe. Maana huyu mzee kakipigania chadema hadi kapata ulemavu. So huyu mzee namheshimu sana binafsi
Bado ana hustleHivi Lipumba yeye hajapewa ubalozi?