Matunda kuoshwa na sabuni DAR....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matunda kuoshwa na sabuni DAR.......

Discussion in 'JF Doctor' started by The Boss, Jan 10, 2012.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Sijui kama watu wengi wanajua hii

  imeingia fashen ya 'kuosha matunda na sabuni ya unga Dar...

  matunda kama machungwa,maembe,matikiti....kwa wauza matunda hasa wa barabarani...

  ukiona matunda yanang'aa sana na unayatamani.....basi probably ndo hayo...

  sasa sijui hili lina madhara gani....kwa watumiaji...
   
 2. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  eti nini? we umeyatoa wapi?
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mimi nimeona kwa macho
  kariakoo na tegeta..
  wanayaosha na sabuni na kuyafuta na vitambaa
  yanang'aa mno halafu...

  ndo mbinu ya biashara wamegundua...
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama yanasuuzwa vizuri sidhani kama kuna ubaya. Kungekua na ubaya hata vyombo tunavyolia vingesababisha matatizo.
  Sema ile harufu sasa. . . .
   
 5. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  we ukitaka kuyala huyaoshi? si utaosha tena?
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  kumbee
  mimi nilikuwa sijui its ok....
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mimi yes..
  unafikiri kila mtu anafanya hivyoo?
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nimesema "sidhani". Hata hivyo sabuni sio sumu, otherwise usingekua unaosha vyombo vyako na sabuni. Sema kama hawasuuzi wanafuta tu huo ni uchafu mara mbili.
   
 9. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Basi waogope kwanza madhara mengine kabla ya kuogopa madhara ya OMO
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  kweli sio kila king'aacho ni dhahabu
   
 11. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ​kazi iipo
   
 12. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mimi naona iko poa, ila wayasuuze vizuri.
   
 13. s

  saidimakuka Member

  #13
  Jan 11, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi kali watatuua sasa.
   
 14. Mrembo

  Mrembo JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 392
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hata mimi huwa naosha na sabuni kabla ya kuyahifadhi kwenye fridge.
   
 15. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mi nadhani siyo vizuri kuosha kwa sabuni!!
   
 16. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Bali kimeoshwa na omo.
   
 17. d

  dora JF-Expert Member

  #17
  Jan 12, 2012
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 207
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Matunda mengine unakuta yaliwekewa pesticides ili kuyakinga na vijidudu, so ni vizuri kuosha na sabuni hasa yale matunda yanayoliwa na maganda yake mf. apples. Kwa matunda kama nanasi, tikiti maji au ndizi sidhani kama kuna ulazima.
   
 18. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #18
  Jan 12, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  Hii inanikumbusha kuna miaka nilipita na Dakar, Senegal nikakuta wa Senegali wanaosha nyama kwa sabuni (wanaifua) kabla ya kuipika. Kuuliza nikaambiwa hao ni Waislaam na dini yao inawaambia wasile damu, kwa hiyo wanahakikisha nyama haibaki na damu kabla ya kuipika.

  Umeona mambo hayo? sisi huku tunaiosha kwa maji tu na kuipika (nyumbani) wauza mishkaki mitaani huko mwiko kuosha nyama, wanakuambia unaitoa ladha, hapo sasa.
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Jan 12, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  hao waislam wa senegal kiboko...lol
   
 20. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #20
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,129
  Likes Received: 6,617
  Trophy Points: 280
  kuna mtu tunafanya nae ofisi moja
  yeye ni mpenzi wa matunda na akiisha nunua
  ni lazima ayaoshe na sabuni, tena ya unga.
  haya ndo mambo ya ajabu ninayoyaona huku mjini huko kwetu huwa
  hakuna mambo kama haya.
   
Loading...