Matunda haya yanaitwaje kwa kiswahili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matunda haya yanaitwaje kwa kiswahili?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GM7, Oct 30, 2009.

 1. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2009
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Halo wana JF, nauliza hivi kwa sababu kuna baadhi ya vitu vingine havijulikani kwa majina ya kiswahili. Mfano:
  Matunda haya kwa kiswahili yanaitwaje?

  Kwa lugha fulani wanayaita mafyulisi, na lugha nyingine wanayaita mapiniges.
  Kwa kiswahili je????????
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Yeah jina ndo hilo hilo Mafyulisi au mapindigesi
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Lol... umenifurahisha sana wewe Msafwa wa huko Mbeya!

  Haya matunda yanaitwa Matipisi kwa baadhi ya sehemu, zaidi Arusha au Peaches kwa lugha ya Kiingereza!

  Nami pia nayapenda sana, ila naboreka kwa sababu yale matunda manene na matamu sana ya jamii hiyo wanayaita "ya kizungu", wakati ya kawaida kama hayo pichani, yanaitwa ya kiswahili!- maneno mbofumbofu!
   
 4. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2009
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,224
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Mbeya ndipo mahali wanapoyaita mafyulisi (Wasafwa).
  Kwa Lushoto, matunda hayo yanaitwa MAFYOKSI.
   
 5. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  HA! HA! MOSHI TUNAYAITA SESU ni matamu chana chana!
   
 6. K

  Komavu Senior Member

  #6
  Oct 30, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 114
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mkuu,

  Umenikumbusha mbali sana maana nilikuwa najaribu kukumbuka jina
  maana nimesoma Lushoto so tulikuwa tunayachuma tu mitini yalikuwa yamejaa
  tele.
   
 7. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2009
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,224
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh!
  Kumbe na ww umesoma kule 'Usoto"? Hongera sana.
  Hali ya hewa ya pale inafanana sana na ya Mbeya na Iringa , ndo sababu matunda haya pamoja na pears, matufaa na mengine ya jamii hiyo yanapatikana kwa wingi sana. Kwa kiingereza matunda hayo pichani yanafahamika kama 'Peaches'
   
 8. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2009
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  ha ha haa mi nilikuwa nadhani mafyulisi ndio kiswahili!
   
 9. Mopao Josee

  Mopao Josee JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "HA! HA! MOSHI TUNAYAITA SESU ni matamu chana chana!"


  BRAVO!!!!!!!!!
   
 10. Prof Gamba

  Prof Gamba JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 390
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Duh!!! katka kutafuta jina mpaka sasa sijaweza kupata jina lake la
  kiswahili zaidi ya mimi kuyafahamu kama mafyulisi kwa jina la watu wa mbeya.
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,436
  Likes Received: 22,349
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Mbala uli?
   
 12. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kwetu Mbeya yanajulikana kama mafyulisi lakini hapa Iringa nimekumbana na jina la mapinigesi.
   
Loading...