Sinayo mkuu nilidhani wewe unayo maana nakuaminia sana!!Hapana aisee hebu niongezee maarifa nitashukuru mno
mzambarao
Fuko kiswahili chake ni panyabuku..Zambarau pori!![emoji86] [emoji86]
Alafu mizizi yake ni chakula kikuu cha mnyama mmoja hivi anaitwa fuko!!(huyu fuko kiswahili chake sikijui!!)
unaitwaga nini?umeniangusha!
Kwetu kuna matunda yanaitwa matakoyabibi yanafanana na haya..ila si haya
Sio kweli mkuu panya buku ni mnyama mwingine tofauti tena mkubwa wa huyo fuko!!mwulize mshana j.r atakufafanulia kule kwao kihurio wapo wengi tuu!!Fuko kiswahili chake ni panyabuku..
Yoh hiyo disection imefanyika niaje
Mkuu hayo maini yake matamu sana kuna siku nakumbuka tulimtega akanasa sasa wakati tunamchoma tumpe mbwa ile nyama yake ilitutamanisha tukampasua yalr maini tuliyachoma tukayagonga!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85]
[emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu hayo maini yake matamu sana kuna siku nakumbuka tulimtega akanasa sasa wakati tunamchoma tumpe mbwa ile nyama yake ilitutamanisha tukampasua yalr maini tuliyachoma tukayagonga!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85]
Lakini mkuu mbona kule vijijini panya buku sio huyo?? Kwetu mnyama fulani yupo kama panya hivyo hivyo ila ni mkubwa kama paka yeye hua anakaa chini ardhini kwenye shimo hua anataka usiku tuu na chakula chake kikuu ni makweme au konokono au mahindi (yale makavu) hia shimo lake akichimba udongo hua ni mwingi kama nusu ya fuso hivi!!kiswahili hua sijui ila kilugha anaitwa....naona aibu kusema[emoji85] [emoji85][emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]