Sio tende mkuu.Itakuwa tende... Ila sina hakika
Zambarau pori!![emoji86] [emoji86]
HUYO FUKO SI NDO YULE ANAYE ISHI CHINI YA ARDHI AKITEMBEA SEHEMU YA ARDHI HUWA KAMA INAINUKA? {FUNGO}Zambarau pori!![emoji86] [emoji86]
Alafu mizizi yake ni chakula kikuu cha mnyama mmoja hivi anaitwa fuko!!(huyu fuko kiswahili chake sikijui!!)
Sio huyo mkuu!! Huyu fuko hua anachimba chini kwa chini ni mkubwa wa panya kidoogo huwezi kimchimba hadi umkute huko chini anamashimo kibao anapiga chenga sana huwezi jua yupo shimo lipi hadi umtege kwa mtego!!HUYO FUKO SI NDO YULE ANAYE ISHI CHINI YA ARDHI AKITEMBEA SEHEMU YA ARDHI HUWA KAMA INAINUKA? {FUNGO}
HUYO FUKO SI NDO YULE ANAYE ISHI CHINI YA ARDHI AKITEMBEA SEHEMU YA ARDHI HUWA KAMA INAINUKA? {FUNGO}
Sio huyo mkuu!! Huyu fuko hua anachimba chini kwa chini ni mkubwa wa panya kidoogo huwezi kimchimba hadi umkute huko chini anamashimo kibao anapiga chenga sana huwezi jua yupo shimo lipi hadi umtege kwa mtego!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mkuu mshana asante samna mkuu wangu hivi historia ya fuko unayo!!