Matumizi ya ugoro yamezidi kwa sasa

Matumizi ya ugoro yamezidi kwa sasa

kansa za midomo zitakuwa nyingi sana hhuko tuendako.
 
Kama kichwa cha habari kilivyo ..kwa sasa kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kutumia hii kitu ugoro, nina maswali kwa wanaJF.

1.nataka kufahamu madhara ya hii kitu maana nahisi vijana wanahangamia

2. Mbona serikali haipigi marufuku hii kitu na kukamata wamasai wote wanaofanya hii biashara coz asilimia 99 ni wao

3.je ni kweli masai wanachanganya na kinyesi kikavu cha binadamu katika kuleta stimu kali ya ugoro !

Naomba majibu ya maswali yangu maana midomo ya vijana sasa hivi meno ya chini yote yamebadilika rangi na mdomo wa chini unakua mrefu kushinda wa juu !!

Nawasilisha

kitaalum ugoro ni ADDICTIVE SUBSTANCE, ukiutumia kwa muda mrefu unasababisha UTEGEMEZI (addiction of substance) na kuacha inakuwa vigumu kuacha, ukienda baadhi ya nchi nyingine ugoro umewekwa kwenye kundi la madawa ya kulevya yaani (ILLICIT DRUGS)
 
vitu vingine vya kuiga duh,

yani nianze tu kula ugoro,

plz mtu atujuze stimu za ugoro zikoje-zikoje?
 
Mimi bibi yangu anakula sana ugoro tangu nipo primary hadi sasa alichoharibika ni meno tu,ila siku akiukosa patachimbika mtatukanwa nyumba nzima au asikione kikopo chake cha ugoro ni shida mtakuta magodoro yote yamebinuliwa nguo zimechanguliwa na harudishi ha ha ha!
 
Jumatatu nimekula zangu mabuyu manne ya chibuku kama saa nne usiku hivi, nikaja nikaongezea na ndoba 3 chapa jogoo, baadae nikabwia na goro.
Aisee nikaona dunia inazunguka, nikajisemea moyoni kuwa ngoja sasa nikae vizuri nione mwisho wake.
Sijakaa sawa muuzaji ananishitua anasema nyanyua miguu tufagie tunataka tunywe chai.
Ile kuangalia! kumbe tayari saa mbili asubuhi.
Sina hamu na ugoro.
 
hahahaa si mchezo
 
Were kiboko OLESAIDIMU ndio zake lazim alimaliza kreti la chibuku na jagi la ugoro
 
Last edited by a moderator:
Jamani vijana wengi sasa wanatumia ugoro sana,hebu serikali iangalie kwa jicho la umakini
 
Kama kichwa cha habari kilivyo ..kwa sasa kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kutumia hii kitu ugoro, nina maswali kwa wanaJF.

1.nataka kufahamu madhara ya hii kitu maana nahisi vijana wanahangamia

2. Mbona serikali haipigi marufuku hii kitu na kukamata wamasai wote wanaofanya hii biashara coz asilimia 99 ni wao

3.je ni kweli masai wanachanganya na kinyesi kikavu cha binadamu katika kuleta stimu kali ya ugoro !

Naomba majibu ya maswali yangu maana midomo ya vijana sasa hivi meno ya chini yote yamebadilika rangi na mdomo wa chini unakua mrefu kushinda wa juu !!

Nawasilisha
 
Attachments

  • IMAG0319.jpg
    IMAG0319.jpg
    208.9 KB · Views: 55
Back
Top Bottom