Mkuu ni kweli vijana wadogo unawakuta wanakula ugoro kama mama yeyo wanafunga kwene kilailoni sjui wanafaidika na nini na hii kitu

Mkuu mi nawasikitikia nimeshuudia wanafunzi wanatumia hii makitu aise sjajua wanapata faiida gani kama we nimtumiaji tujulisheAfu mkuu mboni unaongea kama unawaonea wivu sana teh teh?
Kama kichwa cha habari kilivyo ..kwa sasa kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kutumia hii kitu ugoro, nina maswali kwa wanaJF.
1.nataka kufahamu madhara ya hii kitu maana nahisi vijana wanahangamia
2. Mbona serikali haipigi marufuku hii kitu na kukamata wamasai wote wanaofanya hii biashara coz asilimia 99 ni wao
3.je ni kweli masai wanachanganya na kinyesi kikavu cha binadamu katika kuleta stimu kali ya ugoro !
Naomba majibu ya maswali yangu maana midomo ya vijana sasa hivi meno ya chini yote yamebadilika rangi na mdomo wa chini unakua mrefu kushinda wa juu !!
Nawasilisha

Mi wananikera pale wanaporusha mimate yao!!. Ptsiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..........!
Huo ugolo wanavuta vijana sio ule kama wa babu yangu, huo ugolo pia huwekwa,
1. Tumbaku
2. Magadi
3.
Vingine muongezee wenyewe, wimbi hili la ugolo huu wa vijana limeongezeka baada ya nyinyiemu kupiga marufuku
"kubeli"
Kwa taarifa gunia moja la ugolo Tshs 700,000/=
Afu mkuu mboni unaongea kama unawaonea wivu sana teh teh?
Mimi nimeshindwa kusoma kabisa..mtu unasoma utazani unatukana,ameunga na sindano nn