Matumizi ya status kwenye Whatsapp

kuna demu kaandika "usiombe uingizwe moyoni omba uwekwe profile pic ili wachangiaji wakuone wajue unapendwa.. moyoni nani atakuona?"
 
tatizo la watsApp hadi darasa la nne anaweza kuitumia
 
Kuna jamaa nilikuta anasutwa na demua wake, demu analalama eti kwa nini hawekwi kwenye profile pic.

Jamaa akamjibu kuwa anaogopa washkaji watamwonea wivu ana demu mkali.

Digital acha tu kwa kweli.

Ni kupelekana kimatukio, yana wenyewe
 
tatizo la watsApp hadi darasa la nne anaweza kuitumia

Madarasa hayo wanaacha ile "Hey am using whats up"

Hao unawafikia siyo ndio wenye kuweka vitimbi
 
Na nyie huwa mnaangalia status za watu ili iweje? Hamna kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…