Habari za usiku Wanajamvi.
Jamani hizi status za whatsapp zinaniacha hoi naona kama ladies wameona ndo sehemu za kupigana vijembe, majigambo na kutukana ingawa kuna nyingine zinafurahisha na kufundisha pia.
Hata hivyo kuna nyingine zinahuzunisha na nyingine zipozipo tu.
jamani this is social nwtworks tustaarabike haya mambo ya hovyo hovyo na yanayohusu individual yawe treated individually pia.
Mfano hebu check hizi:
1."Asipokuwepo kwako yupo kwangu"
2."Humpi vikamtosha ndo maana anakuja vinakomchosha"
3."Sura mbaya, tabia mbaya, umbo bayaaaa labda sokwe ndo akutake"
3."Huna utamu una utelezi"
4."Unaolewa au unasindikiza?"
5."Toroka uje"
6."Yupo kwangu"
7."Mbona hujamkata kiu"
Karibuni kwa mjadala.