Matumizi ya simu katika Mahusiano

hahaha ..kweli mimi ni mjinga eee? eti? hakajaniomba msamaha na kamesepa zake bila hata kugeuka nyuma ..sitakuja kupenda tena

Usitukane mamba kabla hujavuka mto!
 
hahaha ..kweli mimi ni mjinga eee? eti? hakajaniomba msamaha na kamesepa zake bila hata kugeuka nyuma ..sitakuja kupenda tena
mkuu unampenda sana huyo dada ndio mana uko hapa unalialia.....take action one bim bim bim.....hauna pistol karibu hapo ukarahisisha mambo(just kidding).... ila kabla hakikisha una hata mtoto mmoja umeacha duniani
 

Mkuu Kaizer ni kweli nampenda sana na nilikuwa na mpango wa kumuoa ila basi tena ..ngoja tu nijikaze kiume naona hadi wasichana wenyewe wananishangaa ..maana yake ni kuwa mimi ni mshamba wa mapenzi..ok nimekubaliana na hali halisi japo ni ngumu ila najua hata haya yatapita ...asanteni sana wana JF kwa ushauri mzuri ..sikujau kabisa kuwa huyu mdadad anamaanisha nini ..alivyokuwa anamponda ex wake na anavyofanya sasa hivi ni tofauti kabisa ..
asante MOLA AMENIEPUSHA NA HILI BALAA .. sasa haya yangetokea nadi ya ndoa si ingekuwa ni aibu kubwa kwenye familia yetu jamani ..tena mimi ndio last boni naheshimiak nyumbani sana . Thankx God kwa kunionyesha mapema.
 

Mkuu i pad3 hapo bold, sio sawa kusema hivyo. Kumbuka nimekwambia hiyo hali ni kawaida na sio kwamba ni mshamba wa mapenzi hata kidogo, inatokea watu wengi sana.
 
Last edited by a moderator:
huyu mdada alivyomuongo eti alikuwa ananiambiaga kuwa mimi ndio mwanaume wa kwanza kumfanya a come...afikie kikomo,,nikawa namuangalia tu ..sasa wadau ni kweli ama nilikuwa napakwa mafuta kwa kutumia mgongo wa chupa?
 
huyu mdada alivyomuongo eti alikuwa ananiambiaga kuwa mimi ndio mwanaume wa kwanza kumfanya a come...afikie kikomo,,nikawa namuangalia tu ..sasa wadau ni kweli ama nilikuwa napakwa mafuta kwa kutumia mgongo wa chupa?

More likely than not! Think!
 
Aisee platozoom hebu tupia hizo namna kama zipo cause nadhani ndo anachohitaji zaidi hapa

Na ndicho anachohitaji......anahisi hawezi kumwacha na kwamba hata akimwacha kuna mtu atamchukua..kingine anahisi kudharauliwa na kibaya zaidi naye ameanza kujiona mjinga.Rafiki yangu @i pad 3 kama alivyosema Kaizer haya ni mambo ya kawaida sana katika mapenzi nyakati hizi tena pengine wakati wewe unalia kwa habari ya simu kuna mwingine kama wewe anamfumania g/f wake ana-sexy na mtu.

Kwa hiyo unatakiwa kuona ni sehemu ya challenge tu.........Ni kweli unaumia sana na ninaelewa hilo lakini kwa nini uishi kwa mateso wakati source ya furaha yako ni wewe mwenyewe.............Amini wewe ni kijana mzuri na hayo yamekwisha unaanza ukurasa mpya.
 
Last edited by a moderator:

hapa unanidai biya mbili platozoom , na sa izi ruksa manake sio mchana lol
 
Last edited by a moderator:
Kaka nakushauri uachane naye tafuta mwingine kwani hata maandiko yanasema mke mwema hutoka kwa bwana huyo si wako na hawezi kuwa mke mwema ni bora amekuonyesha mapema kafanya la maana sana sana,mie yalinikuta kama hayo japokuwa mie sijakuwa na nia ya kuoa lakini siku moja niliona mambo si mambo nikamuuliza kulikoni kasema i dont have feeling with you na muda huo tayari yuko na jamaa flani tena namfahamu then later on rafikie kanambia duuh kumbe watu wanachokana nikamuuliza una maana gani kasema demu wako si yuko na jamaa yule na kasema wako na 3 weeks right now.So brother nakushauri kwa kuwa weye ulikuwa uoe ni bora take yr time taafuta mwingine usije kufa kwa ugonjwa wa mawazo then ukasema ningejua,upuka hili neno kaka NINGEJUA.... so wake up man.Pamoja Kamanda.

 
find a new hobby
women can be a source of stress and unhealthy life
huu ni ushauri mzuri kuliko wote, maana ninachokiona utajikuta anakuletea huyo mtu ndani au anaku....Dawa ya moto ni moto sasa tafuta mwingine unayeamini ni mzuri zaidi yake. kingine achana na mambo ya kusoma msg za couple wako,... bye nilikuwa napita tu
 
Wadau naleta kwenu,mada hii :ni Lipi jema katika mahusiano kati uhuru wa kutogusa simu ya mwenza wako (msg ) na hata ikiita na kuwa mnaweza kusomeana au kuchulia msg??maana naona mahusiano mengi yanavunjika sababu ya simu za mkononi!!nawakilisha
 
Kwa upande wangu nahisi halina tatizo kama ni muwazi na mkweli kwa mwenzi wako...why uwe na wasiwasi na hilo?
 
No sio uhuru ,inaweza pelekea matatizo baina yenu coz Ww unawatani.na yy pia ,,so kama hatofahamu anaweza kuwaZa wrong, so dont,,, if u need peace ,,
 
Chako chake,chake chako mnafichana nini me huwa siku zot nasema ukishaona watu nakataliana simu jua woote wezi tu
 
Mimi nimeona na kusikia sehemu nyingi sana wanaogombana wote sababu kubwa ni simu tu na kusomeana msg!ndio najiuliza kila siku ipi bora kati kutosomeana kabisa au kuwa wazi kwa simu ya mwenzako??(Wenye mahusiano au mke na mume)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…