Hvi jamani ni muhimu kuchukua simu ya mpenzi wako ili kujua kunanini kwenye inbox kama ishara ya mapenzi ya kweli kwa mpenzio au ni ujinga na ulimbukeni kwenye mapenzi sababu kuna hili limetokea.
kuna jamaa mmoja alichukua simu ya mpenzi wake akakuta mpenzi wake anapongezwa kwa kuweza kumkuna jamaa kisawasawa mchana wa siku hyo. Jamaa alipojalibu kumshilikisha mpenzi wake jibu lilikua hili "mbona mi jana nilikuta sms ya demu wako mwingine tena akikwambia kashafika gesti anakusubili wewe tu tena anahamu na wewe sana" ila mimi sikuoji sasa kwanini wewe unanifatafata.
sasa hivi kuna umuhimu wa kushika simu ya mpenzi wako ili kujua nini kinaendelea katika simu yake