Huyo dada ni mshenzi wa tabia, kwanza mwizi halafu anatukana, chukua namba yake, na umfutilie tu ujue anaishi wapi na anafanya kazi wapi, ukishajua hayo yote, ck moja mwite au umfuate hukohuko umpe kbano hata kama utatumia watu wakusaidie. Mimi ilishanitokea hiyo na alikuwa ananitukana kila siku nikimwambia malaya mwenzake(mume wanga) anakuwa makali, nilimfuatilia nilipomujua vizuri wapi naweza kumpata, nilimfuata nilimtandika hasa tena mbele za watu, tangu siku hiyo alikoma sikuwahi kuona simu yake wala sms
huyo bwana mshamba sana anagawa namba yake kwa kimada wenzake wanaowaheshimu wake zao wale wenye nidhamu ya woga wana simu ya home na ofisini akirudi hata akikuachia masaa kumi hukuti msg wala simu ikipigwa hapo ikipigwa cm niya kazi tu akienda ofisini ndio anawasiliana na vimada kwenye line nyingine na cm ambayo hujawahi kuitia machoni.nakushauri achana nae **** huyo mwanamke anatapatapa mwisho wa siku huyo ni mumeo ng'ang'ania hapohapo hakuna kuondoka akitaka aondoke yeye.Labda amependa sana ndo maana kamtukana si huwa nasikia love is blind, not sure if love is deaf-mute
huyo bwana mshamba sana anagawa namba yake kwa kimada wenzake wanaowaheshimu wake zao wale wenye nidhamu ya woga wana simu ya home na ofisini akirudi hata akikuachia masaa kumi hukuti msg wala simu ikipigwa hapo ikipigwa cm niya kazi tu akienda ofisini ndio anawasiliana na vimada kwenye line nyingine na cm ambayo hujawahi kuitia machoni.nakushauri achana nae **** huyo mwanamke anatapatapa mwisho wa siku huyo ni mumeo ng'ang'ania hapohapo hakuna kuondoka akitaka aondoke yeye.
Hamjambo MMU! hivo unavopokea simu ya mr. wakati hayupo na kw bahati mbaya au nzuri, ukaitika vizuri haloo habari yako nikusaidie nn mr hayupo katoka mara moja na simu kaacha, unakutana na sauti ya kike nzuri anakuuliza unapokea simu yake wewe ni secretary wake? msonyo mrefu mara simu anakata na hapohapo anatuma msg inasomeka( maraya golikipa mkubwa we piga kelele wenzio twala) hii inakuwa imekaa vp wajameni, wakati uliyepokea simu ni mke wa ndoa hivo, mbaya kuliko unamuuliza mr huyu nani na maana imetokea hivi na hivi nayeye anakuambia ata simfaham, hivo inawezekana vp mtu usimfaham alafu anaamka na mitusi hivi! hivo katika hali km hii mapenzi yakipungua utamlaum mkeo kweli? Ieleweke kwamba hatuna masharti katika simu zetu yeye anashika yangu time yoyote tu na mimi nikihitaji kumpigia mtu wa tigo ndio nashika ya kwake maana mitandao yetu tofauti. Je wana MMU Ingekuwa imekutokea ww ungefanya nn?
ni makosa makubwa sana kupokea cm isiyoyako ndio mana kila mtu anayake
Jamani mpenzi wangu wa kike amenisevu jina la kike kama Khalima.
Nimegundua hili nilipomwomba simu yake nijibeep ili kuona kama ringtone kwenye simu yangu mpya umefanikiwa.
Sijapata jibu,nini tafsiri yaye kunifanyia hivyo!
Mnifungue jamani kimawazo.
We msevu la kiume andika Joti n.k halafu fanya ujanja aone na yeye halafuJamani mpenzi wangu wa kike amenisevu jina la kike kama Khalima.
Nimegundua hili nilipomwomba simu yake nijibeep ili kuona kama ringtone kwenye simu yangu mpya umefanikiwa.
Sijapata jibu,nini tafsiri yaye kunifanyia hivyo!
Mnifungue jamani kimawazo.
Jamani mpenzi wangu wa kike amenisevu jina la kike kama Khalima.
Nimegundua hili nilipomwomba simu yake nijibeep ili kuona kama ringtone kwenye simu yangu mpya umefanikiwa.
Sijapata jibu,nini tafsiri yaye kunifanyia hivyo!
Mnifungue jamani kimawazo.
hapo umeliwa mkuu. Nashut down

Pole Mheshimiwa sana! Hata hivyo kama alivyokwambia mdau-ment mwenza hapo juu kuna wenzako wengine wameseviwa such as "Mzushi" "Voucher" "Mcharuko" "Pasuakichwa" "Speartyre" huoni wewe liko afadhali ? Pole mkubwa! Oooh-maaama!