Kaka Mpendwa
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 772
- 415
Mkuu yani kila nikifikiria tulikotoka na jinsi tulivyokuwa karibu kwa kipindi cha mwaka mmoja naumia sana kuona nampoteza mtu niliyepanga kuwanae katika maisha yangu. Mapenzi kizungumkuti!!!!
Poleni na mihangaiko ya wiki mzima wana JF. Ni hivi nina mpenzi ambaye tuna muda wa mwaka na miezi 9 sasa toka tuwe katika mahusiano lakini kuna tabia moja ambayo ameianzisha hivi karibuni baada ya kwenda chuo, ameniambia kwamba nisiwe nampigia simu wala kumtumia text mpaka yeye atakaponiambia na kama nataka kuongea an yeye kabla sijampigia basi nimpigie kwanza rafiki yake ampe taarifa ndipo yeye atanipigia mimi au atanitumia text. Nampenda sana mpenzi wangu bt je wakuu kwa mtindo huu hakuna njema inayonitafunia mzigo wangu? Naomba mawazo yenu kabla sijachukua uamuzi wa kuachana nae, manake mapenzi yanautesa mtima wangu. Jioni njema wapendwa!!!!!
Nipe ushauri mkuu, nimpige chini?
mkuu, sijapendezwa na jinsi unavyo lichukulia hili jambo, kama vile umeshajua nini kinaendelea,..
Huna haja ya kujipa pressure kiasi hiko...tuliza moyo wako. Kwa nini ufikirie mabaya tu.
Jipe moyo.usiruhusu moyo wako uumizwe kiasi hiki. we ni mtoto wa kiume. Ongea naye kwanza...Usije ukajuta

usiangalie upande mmoja tu, pengine (ingawa sifikirii kuwa uko hivyo) wewe ni king'ang'anizi sana, unampigia simu muda wote mpaka inakuwa kero kwake na kwa watu wengine. Pengine unampigia sanaaaa akiwa darasani kwa sababu ya wivu wako, kutaka kujua yuko wapi, na na nani, anafanya nini. Hizi ni assumptions zangu tu lakini wewe mwenyewe ndie unayejijua zaidi kuhusu tabia zako.mkuu pole sana..
Cha msingi mkalishe huyo binti chini, usikimbilie kumpiga chini. Mwambie hufurahishwi na hiyo tabia, na kama hayuko tayari kubadilika, basi mwambia UAMUZI utakaochukua..Mkumbushe mlikotokea, na pia jaribu kuangalia msimamo wake kwenye uhusiano wenu.
Kumbuka hakuna aliye-perfect..jaribu kuelewana naye..Usiwe na haraka, usije ukajikuta wewe ndo mwenye matatizo
Poleni na mihangaiko ya wiki mzima wana JF. Ni hivi nina mpenzi ambaye tuna muda wa mwaka na miezi 9 sasa toka tuwe katika mahusiano lakini kuna tabia moja ambayo ameianzisha hivi karibuni baada ya kwenda chuo, ameniambia kwamba nisiwe nampigia simu wala kumtumia text mpaka yeye atakaponiambia na kama nataka kuongea an yeye kabla sijampigia basi nimpigie kwanza rafiki yake ampe taarifa ndipo yeye atanipigia mimi au atanitumia text. Nampenda sana mpenzi wangu bt je wakuu kwa mtindo huu hakuna njema inayonitafunia mzigo wangu? Naomba mawazo yenu kabla sijachukua uamuzi wa kuachana nae, manake mapenzi yanautesa mtima wangu. Jioni njema wapendwa!!!!!
Akili za kike hizo. Unajua huyo mdada anaweza kuwa anakujaribu, lakini njia aliyotumia ni mbaya. Ebu mwache usipige simu wala kutuma text kwa mwezi mmoja tu. Usiulize, usihoji, usilaumu, usikasirike, ungulia moyoni, nina imani kama ana akili timamu hajawahi kupata hitlafu ya ubongo basi atakuomba radhi kwa maneno yake ya kifedhuri yasiyo na chembe ya huruma ndani yake.
Lakini pia anaweza yote asiwe nayo, akawa ana mwingine anayemfanya kuwa bussy kuliko wewe. Cha kufanya soma alama za nyakati, wewe ndio unayemjua vizuri, kabla hajatoa hili wazo la kijinga inawezekana ameshawahi kufanya zaidi ya hayo, yaunganishe ili upate jibu.
Nakutakia kila la kheri, uwe mwanaume, usiyumbe kwa sababu ya mapenzi, usiape kutokuwa na mpenzi kwa sababu haikusaidii. songa mbele.