Matumizi ya simu katika Mahusiano

Matumizi ya simu katika Mahusiano

amsamehe tu hizo ni ajali ndogo ndogo ambazo huwa zinatokea

ur totally wrong hapa, mke analiwa nje then ni ajali ndogo...!!!? u r a lady sikutegemea jibu hili, this is the biggest mistake kwenye ndoa na kama ni mkristu then ndoa unaweza kuivunja kihalali, we have to be serious hasa kwenya ndoa, huu si nyakati za GF & BF, mm namfukuza mara moja, akaliwe huko vizuri, this is serious think deep, deeep within, love is indivisible, one on one period.......!!!!!!!!!!!
 
how sure you are?
 
whatever sex u r, if u r a male then unabariki hili? is not about gender is about infedility, get it..?
 
Preta:infii is there to stay

Kwako It's okay ku-cheat? Hongera sana if it's ok with U. Kucheat ni wewe mwenye Uamuzi, ukisema hapana Inawezekana kukaa bila ku-cheat Inawezekana, ila ukisema haiwezekani kukaa bila kutoka nje ni kweli haiwezekani maana umeshaweka Provision for that loophole!
 
amsamehe tu hizo ni ajali ndogo ndogo ambazo huwa zinatokea

In life we learn about those accidents in the hard way. But well, hizo zipo sana tu. Ni kuomba Mungu atupe mioyo mikubwa kama bahari ili tuweze kusamehe.
 
Dawa ya fumanizi, hasa la mke ni kumwachia huyo mme mwenzio, basi.
 
ur totally wrong hapa, mke analiwa nje then ni ajali ndogo...!!!? u r a lady sikutegemea jibu hili, this is the biggest mistake kwenye ndoa na kama ni mkristu then ndoa unaweza kuivunja kihalali, we have to be serious hasa kwenya ndoa, huu si nyakati za GF & BF, mm namfukuza mara moja, akaliwe huko vizuri, this is serious think deep, deeep within, love is indivisible, one on one period.......!!!!!!!!!!!

hata Yesu aliwaambia wale watu waliokuwa wanataka kumpiga mawe mwanamke aliyezini, akawauliza kama kuna aliyemsafi na ampige mawe....je walimpiga?...tafakari
 
duuh kumbe tuko tofauti enhheeee,
kumbe hata ushauri tutakao utoa hapa utakuwa tofauti sana na maamuzi ya mmegewa

mimi nazungumzia kuzuia. kwa kuwa imetokea amshauri, amweleze madhara ya kutoka nje ya ndoa kama vile magonjwa n.k then amsamehe. ila aache kushika cm ya mke wake
 
Atafute demu mkali kumzidi mkewe naye aburudike asiumize roho. Ukigongewa na wewe kagonge kidogo sasa km anakupenda kweli utamwona pale atakapoona una kimwali kikaliiii, kibichiiii chuchu zimesimama km msumari. Ukiona kang'ka basi ujue anakupenda ukiona kauchuna basi hamna kitu, hapo safari kwa kwenda mbele tu. Maisha yenyewe mafupi utakaa unalia lia na kuugua moyo wako bure.
 
Sijaelewa, GONGOTAMU na POLISI mbona avatar zinafanana.? au ni mtu mmoja huyo huyo? manaana wote mnaonekana wageni jamvini naomba ufafanuzi.
 
Sijaelewa, GONGOTAMU na POLISI mbona avatar zinafanana.? au ni mtu mmoja huyo huyo? manaana wote mnaonekana wageni jamvini naomba ufafanuzi.

gongotamu ni mshikaji wangu. tunaishi naye home. ametoa avatar hiyo atatafuta nyingine. samahani sana. tumevunja maadili?
 
hata Yesu aliwaambia wale watu waliokuwa wanataka kumpiga mawe mwanamke aliyezini, akawauliza kama kuna aliyemsafi na ampige mawe....je walimpiga?...tafakari

Pretaaaaaaaaa, u r so smart, u answered point with point, BUT Pretaa, hapa Yesu alijua hakuna aliye msafi, maana yake aliwataka waache UZINZI, hii inatufundisha wote tuwe wakweli kuhusu ndoa, sasa huyu tayari kazini, so unachukua mfano huu na kuhalalisha adultery..? no go back read again that verse in bible, so kwa maneno yako ww unasema ni ajali ndogo ndogo hapa ndio umepotoka, u r off course, why u support..? mm na ww tupinge spiritually, & openly hili, najua kuna wezi wengi kwa hili, once ikitokea hasa ndani ya ndoa, plse chukua hatua immediately pretaa
 
Back
Top Bottom