Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,119
- 136,866
Aiseeee.....daaaah
NN,may be its just me,
i dont believe tuko sawa wanawake na wanaume,when it comes to infidelity...
i just think wanaume find so easy kucheat compared to women,,,
wanawake once tumejicommit,tumejicommit...kweli kweli!
...but again,its just me...
infii is there to stay
.mmmmm, Kama ndoo hivyo tungekuwa tunakata kusafiri kama tunajua ajali ni baada ya km X.amsamehe tu hizo ni ajali ndogo ndogo ambazo huwa zinatokea
heey you...habari ya w/end