Nyamayao nampata sana huyu Iribini ila yeye akinivunjia ndoa si nami navunja yake afu namtosa vile vile!!!!
mmh nije nisheee huyo wako ya kweli hayo N??? hahaaa najua wat u mean dear!!
wewee weee kirahisi rahisi tu hivyo......
hahahaha!heeeeeeeee!!!!
haha haaaaaaaa, mpwa mbona una mashaka? kwani haiwezekani?
Nyamayao nampata sana huyu Iribini ila yeye akinivunjia ndoa si nami navunja yake afu namtosa vile vile!!!!
mmh nije nisheee huyo wako ya kweli hayo N??? hahaaa najua wat u mean dear!!
bht nimekwambia nakumiss mbona hujajibu? nijibu bifoo waifu hajarudi na kabla geoff hajakumbushia kacontribyusheni ka neksti manthi .heeeeeeeee!!!!
Dadadadadada! LOL! Kaangalie vizuri huenda bimkubwao keshatembelea Bagamoyo!
bht nimekwambia nakumiss mbona hujajibu? nijibu bifoo waifu hajarudi na kabla geoff hajakumbushia kacontribyusheni ka neksti manthi .
Nani alikudanganya mwanamke ana ubavu wa kuvunja ndoa?
bht nimekwambia nakumiss mbona hujajibu? nijibu bifoo waifu hajarudi na kabla geoff hajakumbushia kacontribyusheni ka neksti manthi .
Kaka Crispin si lazima uende Bagamoyo, mimi naamini kauli na matendo, usikivu na heshima vya mwenzi wako au wewe mwenyewe vvyaweza kuwa Bagamoyo tosha kabisa katika nyumba yenu so unachagua mwenyeewe ni maisha wataka kuishi
hahahahahahah!Tatizo lako unasahau kuwa mweka hazina wa kamati nafuatilia steps zako. Aisee dawa ya manyaria, kontribyusheni iz needed imedietelii!
deh deh deh! bht atatoa za mtu 2.Tatizo lako unasahau kuwa mweka hazina wa kamati nafuatilia steps zako. Aisee dawa ya manyaria, kontribyusheni iz needed imedietelii!
HEHEHEH!deh deh deh! bht atatoa za mtu 2.
aaargh ! ile ya jana imeeksipaya bana! hebu soma hii sredi huko behaind. nimesahau posti nambari ngapi. rudi rivazi!jamani mi si ndo nilikuambia anzia jana ukanichuni we haya tu bana!!! misd so much sweet banana (khee klorokwini ni chungu basi)
mweeee huyo Goeff kwangu kachuna break za mbuzi haniulizi tena!!!! nshampa msimamo wangu kwamba nitakrash ikibidi ili niwepo kwenye tukio
HEHEHEH!
we fansida wewe?!!!!yaani vere siriaaz unataka bihechitii akutolee?
Natamani nikuamini lakini machale yananicheza. Ngoja niombe nguvu za Roho Mtakatifu.
umeipenda eeh!TWENDE KAAZI.
kadri wanavyoimprove skillz zao sisi tunaingia maabara na kuja na mbuni mpya za kuwakabili!
kuna mmoja ''amemkatikia'' emsii wa moshi hadi kadedi.mbaya zaidi ni mke wa mtu
kudadadeki duuuuuh!! tatizo hawajaweka wazi ni style gani waliyotumia mpaka mc kupoteza pumzi?
kudadadeki duuuuuh!! tatizo hawajaweka wazi ni style gani waliyotumia mpaka mc kupoteza pumzi?
Goeff kasema inaitwa 'peleka ujumbe'