Step by step
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 1,190
- 1,324
Habari wajumbe,
Leo nimemtembelea rafiki angu mmoja mwenye katoto ka kike k umri wa miaka muwili.
Cha ajabu nimekuta amekavalisha shanga kiunoni hako katoto kadogo baada ya kumuuliza akaniambia kuwa inasaidia kutengeneza shape.
Sayansi n ufahamu wangu umegoma kabisa kukubaliana na hili.
Je jambo hili lina ukweli huko duniani?
Tufafanulie nduguNdio
[emoji23][emoji23]dunia ina mambo shape na shangaa wapi na wapi!?Habari wajumbe,
Leo nimemtembelea rafiki angu mmoja mwenye katoto ka kike k umri wa miaka muwili.
Cha ajabu nimekuta amekavalisha shanga kiunoni hako katoto kadogo baada ya kumuuliza akaniambia kuwa inasaidia kutengeneza shape.
Sayansi n ufahamu wangu umegoma kabisa kukubaliana na hili.
Je jambo hili lina ukweli huko duniani?
Mtoto mdogo ukizoea kumlaza upande mmoja bas ni lazima kichwa kiwe flat upande mmoja,,ndivyo na kiunoni shanga hutengeneza kiunoMtoto kama karithi uko nyuma kapigwa pasi hata utambikie ni kazi bure...navojua shape ya mtu anazaliwa nayo
Mtoto kama karithi uko nyuma kapigwa pasi hata utambikie ni kazi bure...navojua shape ya mtu anazaliwa nayo
Imani tu hizo misambwanda na viuno nyigu mtu anazaliwa navyo ukiachana na hawa wa surgery ukisema ivo ile jamii inayoaminika hawana shape nzuri kwao shanga hazipo?Mtoto mdogo ukizoea kumlaza upande mmoja bas ni lazima kichwa kiwe flat upande mmoja,,ndivyo na kiunoni shanga hutengeneza kiuno
Ukikaza wastan shape inatengenezeka vizuri kabisaImani tu hizo misambwanda na viuno nyigu mtu anazaliwa navyo ukiachana na hawa wa surgery ukisema ivo ile jamii inayoaminika hawana shape nzuri kwao shanga hazipo?
NotedMtoto mdogo ukizoea kumlaza upande mmoja bas ni lazima kichwa kiwe flat upande mmoja,,ndivyo na kiunoni shanga hutengeneza kiuno
GoodmanNoted