Matumizi ya pombe safarini ni hatari kwa uhai wako mwenyewe

Kingine naskia ukiwa ktk hali ya ulevi huwezi kutibiwa.
Yes,
dawa ya mwanzo kabisa ya mgonjwa aliebainika kanywa pombe huwa ni dripu tu,
Sasa kwa mfano akipigwa sindano ya quinine na amekunywa pombe si atakufa chap, tunamzika na kumsahau?

ndio maana nasema ukipata ajali ukiwa umelewa unaweza ukashindwa kujiokoa na unaweza ukashindwa kujieleza matokeo yake wakakuchoma sindano au wakakupa dawa itakayokuangamiza kwasabb haisikilizani na pombe....
 
27Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi.
Maisha yafaa nini bila pombe?
Imeumbwa iwafurahishe watu.

28Kunywa pombe wakati wake na kwa kiasi,
Kwaleta shangwe moyoni na furaha rohoni.
Usimkaripie jirani yako kwenye pombe,
Wala usimdharau anapofurahia karamu.
Usimwambie neno la kumwonya,
Wala usimsumbue kwa kumtaka alipe deni..

Kama wewe ni mkristo hiyo ni biblia inasema hivyo
Biblia ya wakatoliki pekee
 
umesema kitu ya maana sana,
ulimbukeni wa pombe unawafedhehesha na kuwadhalilisha
sana kwenye public...
Raha ya pombe Kuna mahali pake bwana!hapo lewaaa fanya unavyotaka...Sasa kwenye gari mara umsumbue dereva unataka kukojoa inasumbua raia Kwa ajili ya ulimbukeni tu
 
Ila kaka kama kwako pombe haiswii kwanini usifokasi kwenye maji

Acha kupoteza muda wako kuanalaizi mareeeeeeeeefu kitu ambacho hauna mapenzi nacho. Hebu ashum ungeandika mareeeeefu hivyo kuhusu benefits of water
Eti mareeefu 😀😀😀.
 
Raha ya pombe Kuna mahali pake bwana!hapo lewaaa fanya unavyotaka...Sasa kwenye gari mara umsumbue dereva unataka kukojoa inasumbua raia Kwa ajili ya ulimbukeni tu
sure lazma ucheze muzuki kitasha zaidi, ule minyama amezingi, kiingereza iwe mingi, kushare upendo kwa kuwapiga offer rafik au wew kupigwa offer, ile peleka4 meza ilee....muulize anakunywa nin alafu mpe 4 n.k
 
Hivi Kwa Nini siku hizi zimekuwa nne nne?🤣🤣
 
Huku tunakusindikiza na maneno ya kishujaa .Tajiri hana kona kona huyu.Simu moja tu tukutane benki.Hapo chui mweusi maokoto anashuka taratiiibu.
 
Hivi Kwa Nini siku hizi zimekuwa nne nne?🤣🤣
😂sifaahamu huu utamaduni umeibukiwa wap siku za karibuni na umekua maarufu sana....

huko nyuma Mzee moja alinidokeza kwamba unapokunywa pombe mathalani bia, make sure zinakua pair meaning kwamba ziwe 2,4,6,8,10,12,14 na kupendelea ili uwe na balance na sio unywe 3,5,7,9 na kupendelea utokosa balance hata unapotembea au kutapika....

kwasasa nadhani wahudumu wa bar wamewapiga hela sana wanywaji pombe kwa bili feki, umekunywa3 kwa kuagiza mojamoja,akikuona umeaanza kuchangamka anakuletea bili ya bia 8, khaaa....

😅Mlevi akili zinamruka kidogo analipa kwa shingo upande na anabadili utaratibu wa kuagiza....
 
Kipindi napiga dili za moro dar.Kuna siku nikachelewa kupanda abood nikapanda islam ilikua mida y asaa kumi na mbili na nusu jioni tumeoboka km dar tunafika mbezi kuna lijimama likapanda bonge la mtu kumbe limetoka kwenye sherehe na bado liko tungi na lina bapa ndogo linafyonza.mpaka nafika moro nimelinanawa sana tukachukua kitax pale tukaenda zetu msufini nikachukua guest pifa sana miti...
 
Back
Top Bottom