Matumizi ya pesa ya kigeni kusitishwa kwenye bidhaa na huduma yoyote tanzania..amri sio ombi


U

undugukazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Messages
314
Likes
29
Points
45
U

undugukazi

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2011
314 29 45
Natamani hii ingetokea kweli...ni ndoto zangu tu ila kiukweli natamani sana...hata serena tukienda tulipie tzs kupata vyumba, maduka yote, kila kona ya nchi...
 
Ndallo

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Messages
7,392
Likes
1,569
Points
280
Ndallo

Ndallo

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2010
7,392 1,569 280
Hii pia nilishawahi kuulizwa na wateja wangu kua kwanini hamuidhamini hela yenu?
 
Rubi

Rubi

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Messages
1,623
Likes
53
Points
145
Rubi

Rubi

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2009
1,623 53 145
wewe nawe ukisoma huelewi anghrrrrrrry, amekwambia ni ndoto zke anatamani iwe hivyo hata mimi natamani iwe hivyo. Why dola? kama unataka source ni yeye mwenyewe.
 
U

undugukazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Messages
314
Likes
29
Points
45
U

undugukazi

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2011
314 29 45
Ukiliangalia kimasihara unaeza hisi ni suala dogo ila matokeo yake ni makubwa sana...tunashindwa thamini pesa yetu na bidhaa na huduma zinakua juu sana kwa ajili hiyo...coz shilingi ikishuka thamani dola au fedha yoyote ya kigeni itapanda thamani na kuzidisha ugumu wa maisha...
 
UNDENIABLE

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Messages
2,305
Likes
459
Points
180
UNDENIABLE

UNDENIABLE

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2013
2,305 459 180
Ukiliangalia kimasihara unaeza hisi ni suala dogo ila matokeo yake ni makubwa sana...tunashindwa thamini pesa yetu na bidhaa na huduma zinakua juu sana kwa ajili hiyo...coz shilingi ikishuka thamani dola au fedha yoyote ya kigeni itapanda thamani na kuzidisha ugumu wa maisha...
pesa zetu zenyewe hazitudhamini, sisi tutazithamini vp? si unaona zinavyotukimbia na kutufanya tuwe na njaa za tumboni hadi akilini?
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
31,111
Likes
17,677
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
31,111 17,677 280
Inaiuma sana sana asikwambie mtu.....yaani hata nyumba ya kupanga eti mtu anataka dollary.......pumbavu kabisa. Halafu sitashangaaa akija mpuuzi mwingine nakusema kuwa...ukions hivyo ujue nchi ina akiba ya kutosha. Waapiiiii
 
ndendi

ndendi

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Messages
628
Likes
26
Points
45
Age
40
ndendi

ndendi

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2012
628 26 45
huna lolote,unataka watumalize hawa majambazi wanaotumia boxer motorbike
Natamani hii ingetokea kweli...ni ndoto zangu tu ila kiukweli natamani sana...hata serena tukienda tulipie tzs kupata vyumba, maduka yote, kila kona ya nchi...
 
F

Fofader

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Messages
849
Likes
91
Points
45
F

Fofader

JF-Expert Member
Joined Sep 28, 2011
849 91 45
wewe nawe ukisoma huelewi anghrrrrrrry, amekwambia ni ndoto zke anatamani iwe hivyo hata mimi natamani iwe hivyo. Why dola? kama unataka source ni yeye mwenyewe.
Rubi hii ndoto niliwahi kuisikia kama itakuwa kweli muda mrefu uliopita kupitia kinywa cha gavana mkuu wa benki kuu alipoteuliwa. Mimi nimechoka kuota. Nilifikiri wamefanya kweli. Ahadi isiyotimizwa ni ahadi hewa, na ndoto isiyotimia ni ndoto...........?
 
Last edited by a moderator:
S

silongo capdivilla

Member
Joined
Jan 19, 2013
Messages
89
Likes
3
Points
0
Age
24
S

silongo capdivilla

Member
Joined Jan 19, 2013
89 3 0
Inatakiwa kuwa hivyo tu na si vinginevyo kwanini hela ya wengine itumike nchini kwetu jamani..sasa hizi ni dharau kubwa sana kufanya biashara ndani ya nchi kwa kutumia hela za watu wengine wakati hela yetu ipo!! inamana washauri wa Rais mie huwa siwaelewi hawa ni nani huwa anawachagua na huwa akifanya uchaguzi anatumia na vigezo gani? mbona kama nchi hii haina wasomi jamani!! wanapoenda huko kwenye ma-nchi ya watu huko wanaona hayo yanafanyika.kuweni makini jamani hela yetu iwe na mzunguko stop kabisa kutumia hela za watu.
 
Totos Boss

Totos Boss

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2012
Messages
5,124
Likes
886
Points
280
Age
35
Totos Boss

Totos Boss

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2012
5,124 886 280
Mkuu umeota ndoto ya ukweli
Hili ni suala la kutekelezwa
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
24,386
Likes
7,692
Points
280
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
24,386 7,692 280
Nilijua ni kitu kilichosemwa, kumbe ni ndoto tena.
 

Forum statistics

Threads 1,274,090
Members 490,586
Posts 30,500,708