undugukazi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 315
- 82
Natamani hii ingetokea kweli...ni ndoto zangu tu ila kiukweli natamani sana...hata serena tukienda tulipie tzs kupata vyumba, maduka yote, kila kona ya nchi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe nawe ukisoma huelewi anghrrrrrrry, amekwambia ni ndoto zke anatamani iwe hivyo hata mimi natamani iwe hivyo. Why dola? kama unataka source ni yeye mwenyewe.Source please?
Ukiliangalia kimasihara unaeza hisi ni suala dogo ila matokeo yake ni makubwa sana...tunashindwa thamini pesa yetu na bidhaa na huduma zinakua juu sana kwa ajili hiyo...coz shilingi ikishuka thamani dola au fedha yoyote ya kigeni itapanda thamani na kuzidisha ugumu wa maisha...
Natamani hii ingetokea kweli...ni ndoto zangu tu ila kiukweli natamani sana...hata serena tukienda tulipie tzs kupata vyumba, maduka yote, kila kona ya nchi...
Rubi hii ndoto niliwahi kuisikia kama itakuwa kweli muda mrefu uliopita kupitia kinywa cha gavana mkuu wa benki kuu alipoteuliwa. Mimi nimechoka kuota. Nilifikiri wamefanya kweli. Ahadi isiyotimizwa ni ahadi hewa, na ndoto isiyotimia ni ndoto...........?wewe nawe ukisoma huelewi anghrrrrrrry, amekwambia ni ndoto zke anatamani iwe hivyo hata mimi natamani iwe hivyo. Why dola? kama unataka source ni yeye mwenyewe.