Matumizi ya neno mkuu bado hayajapoteza maana ;Kuna verified members tunawajua kwa sura na kazi wanazofanya hasa hawa wanaotumia majina yao halisi still tunaendelea kuwaita mkuu. Mfano ni huyu member maarufu anayepaita humu jamvini na nyuzi huziita bandiko
Ukitaka kuuliz swali you go straight to the questioning, nikapata wasiwasi anaomba kuniuliza swali...Papai hilo linataka kujitongozesha,kaa nalo mbali mkuu,ndio tabia yake hiyo kushobokea wanaume hapa JF,
Usije kusema hukuambiwa mkuu.
kujua kipato cha mtu ni siri, hata uone salary slip yake still hutajua kazi zake za pembeni zinamuingizia hela kiasi ganiMatumizi ya neno mkuu bado hayajapoteza maana ;
Kufahamu mtu sura na kazi haimaanishi unafahamu pia na kipato chake halisi.
Ni zuri ukilizoea,usipolizoea unahisi kumwita member mkuu ni Kama unamtukuza vile🤒Napata tabu sana kutumia neno hili. Naona kabisa kama halijakamilika
Upo sahihiInabidi kulizoea maana inarahisisha badala ya kutaja majina ya kila ID.
Napata tabu sana kutumia neno hili. Naona kabisa kama halijakamilika
Ungependa litumike vipi mkuu.
Naona kama Mdau limekaa poa
Huwa natumia ndugu, rafiki, nk
Nyimbo zote za kidini zenye neno mkuu napata ukakasi kuzisikiliza
I have mental issues
KUMBEMtaani naitwa Mwenyekiti, faza, mshua, mwarabu...haya majina ambayo nimeyazoea
Nikiwa shuleni walikuwa wananiita Albino, sope, fataki....
JF tupumzishane kwenye majina
Kama mdau halifai
Tuitane waheshimiwa kama wanavyoitana bungeni
Hili ni bunge pia
yesu mental issues kivipi tenaNaona kama Mdau limekaa poa
Huwa natumia ndugu, rafiki, nk
Nyimbo zote za kidini zenye neno mkuu napata ukakasi kuzisikiliza
I have mental issues
Kuna watu watu wa kuwaita mkuu humu waliopo.Naona siku za hivi karibuni neno Mkuu limepungua kasi katika matumizi yake ila kwa wakongwe sio geni sana.
Matumizi ya neno Mkuu yalikuja kutokana na hulka ya watumiaji wa JF kutotumia majina halisi.
Hulka ya kutotumia majina halisi au "fake Id' ilileta kuficha the real identity ya member.
Kwakuwa the real identity ya member haifahamiki, hivyo member wakaamua kuanza .matumizi ya neno "mkuu" kupeana heshima tu kwani "fake Ids" zinaficha status ya mtu.
Huwezi juwa elimu, kipato , umri , jinsia au cheo chake. Hivyo neno mkuu linabeba yote hayo.
Yangu machache. ( my few cents).
Sawa mkuuSijabisha