Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 8,297
- 16,462
Toobaaaaaaa!!!Milango ya nyuma inapendwa sana mkuu. sio kwa nyumba tu....
Toobaaaaaaa!!!Milango ya nyuma inapendwa sana mkuu. sio kwa nyumba tu....
Aisee, mbona unabadili 'context' nzima ya hii kamba kamanda?[/QUOTE NASHAAA!!
Ilishawekwa ikatolewa maana hata mimi niliwauloza iweje mtoa mada hajaonyeshe dalili ya kuongelea hayo yanayodhaniwa hapa alafu ipelekwe kule. Watu wengine naona wamepania kweli kuivuruga.
na ktk hili wameshachakachua tena kwa kiwango cha juu. halafu sijui why, maana utadhani wamelogezewa huko wanakong'ang'ania kuongelea, duuuuuuuuh!
Nilikwambia uwaombe mod wafute comment zinazopotosha ukajifanya hujaona. Zingefutwa wasingeendelea.na ktk hili wameshachakachua tena kwa kiwango cha juu. halafu sijui why, maana utadhani wamelogezewa huko wanakong'ang'ania kuongelea, duuuuuuuuh!
Lakini wewe naye si ulikuwa unachekelea wakati ikichakachuliwa?
Afu sa hivi una bifu, lol
Urongo huo!
Inatokana na aina ya ujenzi... Zipo nyumba zenye mlango mmoja, na ukikuta wa pili basi unaishia kwenye Balcony(veranda)Hii milango naona kama inachanganya! Hivi kwa nini kuna milango miwili?
"African are fond of short-cuts'
aliinifundisha mwal. Mhagama, Karatu Sec. mwaka 1947.
Sasa mlango wa nyuma ni short-cut?
Sasa mlango wa nyuma utakuaje karibu kama unapita mbele ya nyumba (ulipo mlango wa mbele) na kuzunguka nyuma ya nyumba?kwani mlango wa nyuma ni nini.
si ina maana unaingia kwanza.
sijajua sana kwa kuwa vijumba vyetu vya uswazi vina mlango mmoja tu.
Sasa mlango wa nyuma utakuaje karibu kama unapita mbele ya nyumba (ulipo mlango wa mbele) na kuzunguka nyuma ya nyumba?[/Q Ndio maana ukaitwa mlango wa nyuma, manake ni kwamba unauona wa mbele lakini unazunguka nyumba unaenda nyuma. Hakuwezi kuwa jirani,sio short cut hiyo,ni mzunguko. Nakubaliana nawe.