Matumizi ya Mlango wa Nyuma: Hebu tulijadili! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matumizi ya Mlango wa Nyuma: Hebu tulijadili!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by ndyoko, Dec 5, 2011.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Katika nyumba nyingi sana-hebu chunguza au jaribu kukumbuka-kuna hii tabia ya wakazi wa kwenye nyumba hizo kutumia mlango wa nyuma/jikoni wa nyumba wanapoingia ndani badala ule wa mbele ambao ukiutumia unakufikisha moja kwa mija sebuleni.

  Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hii tabia ktk nyumba nyingi sana lakini bado sijajua haswa sababu ya watu kufanya hivi. Ktk nyumba nyingine utakuta huo mlango wa mbele umefungwa kabisa na pengine unafunguliwa wakati wa kufanya usafi mkubwa wa ndani tu. Kifupi mlango wa mbele unaweza usifunguliwa kabisa ktk mwaka mzima.

  Hebu tulijadili hili waungwana!
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Unalako jambo weye!
   
 3. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Milango ya nyuma inapendwa sana mkuu. sio kwa nyumba tu....
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sababu moja wapo ni kwamba mtu akipitia mlango wa nyuma lazima aliyepo nyumbani atajua kwasababu inabidi azunguke.Hata kama kuna mbwa ambae yuko bize huko nyuma atabweka.Wakati kutumia wa mbele ni rahisi mtu kuingia bila mtu mwingine kujua.

  Pili uchafu.Ukipita mlango wa nyuma unaweza kuvua viatu vyako mlangoni bila wasiwasi (ustaarabu ) badala ya kuviacha vimezagaa mbele ya nyumba, sehemu ambayo pia ni rahisi kuibiwa. Badala ya kuvua na kubebana navyo.

  Mazoea ya familia.
  Unakuta kila mtu anapenda akifika tu asalimiane na aliowakuta nyumbani, na mara nyingi wengi hua huko nyuma ambapo ndio kuna jiko na baraza ambayo wanaweza wakakaa na kula/kufua/kucheza n.k

  Zaidi ya hapo sijui.. . . nikikumbuka ntarudi.
   
 5. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #5
  Dec 5, 2011
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 970
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 60
  Mlango wa nyuma ni mdogo kuliko ule wa mbele, kwa kuwa watu wengi wanapenda msuguano na mbanano wanatumia mlango wa nyuma. Pia kwa kuwa mlango wa nyuma huanzia jikoni badala ya sebuleni, hivyo joto lake ni kubwa zaidi, watu wengi wanapenda joto hasa sehemu za baridi. Zaidi ya hapo ni addictions tu....
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Dec 5, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hii post imeifanya thread hii nzima iwe ya jukwaa pendwa la Kimbweka.
   
 7. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #7
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Aisee, mbona unabadili 'context' nzima ya hii kamba kamanda?
   
 8. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #8
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Ktk hili Nimejifunza kweli kweli!
   
 9. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #9
  Dec 5, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Hii thread ni nzuri lakini itaondoka na mtu kwa Ban!
   
 10. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #10
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  we mtoto wa kike una mambo kweli weye!
   
 11. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #11
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ule ni mlango kwa ajili ya emegerncy only..kama moto au unamkimbia mtu anaekudai au kusave wakti umefumaniwa..
   
 12. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #12
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  hii thread ni nzuri ila muda sio mrefu itahamia kwa akina Kibweka
   
 13. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #13
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  ni kweli kaka, ila jinsi inavyotafsiriwa haikuwa kabisa lengo langu. Sidhani kama nastahili kubeba lawana kwa atayekula ban
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Dec 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Afadhali maana nilivyoona imehamishiwa kule nilianza kujishtukia. Omba hizo comment zinazoipotosha mada yako ziondolewe maana wachangiaji wengine watadandia hapo tu bila kuangalia mada wenyewe.
   
 15. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #15
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wanapenda sana kupotosha maana iliyokusudiwa
  na nafikiri hapa lililokusudiwa ni mlango wa nyuma wa nyumba na sio hiyo maana inakopekwa kwenye jukwaa la akina Kibweka
   
 16. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #16
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  na hilo ni tatizo kubwa kwa baadhi ya watu humu ndani
   
 17. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #17
  Dec 5, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Dah! Hata Saint Ivuga aliwahi kutumia mlango wa nyuma...
  Si mnakumbuka?
   
 18. driller

  driller JF-Expert Member

  #18
  Dec 5, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hii analysis sio kitoto mkuu..! inamaswali kinyama ila mh..!
   
 19. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #19
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mhhh tatizo lako hilo
  Duh yaani hapa ndo umeona great analysis
   
 20. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #20
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Nyuma kutamu bana asikwambie mtu
   
Loading...