Matumizi ya Mlango wa Nyuma: Hebu tulijadili!

Thread hii na michango yote imeathiriwa na ucameron. Hamna lolote la maana

ni wazi wewe ni masikini sana wa kujifunza 'human behaviour' na inaonekana mawazo yako ni ya mgando sana. na hiyo ndo shida ya wabongo, sijui sababu ya shida za maisha yaani imefika mahali kila jambo la maana watu hawalifikirii/hawalichukulii kwa namna ipasayo badla yake huliwazia kwa mtazamo wa ngono........ni janga linaloimaliza raia wa nchi hii
 
Mkuu ndyoko,nakuheshimu sana ila you must accept the fact that kamba yako hii,pamoja na 90% ya wachangiaji wako wamelenga kuspeak about Ucameron. Just look at the contributions!. Sio nyumba zote na wala sio sheria kwamba kila nyumba iwe na lango la nyuma. Je hakuna nyumba zenye mlango mmoja? Vijijini?nyumba za tembe? Je what if nikijenga nyumba mlango wa pembeni? Sisi waswahili wa pwani anayeingia nyumbani lazima apitie " barazani" ndiko atakakopokelewa na wenyeji wake ambao ni wanaume. Apitie mlango wa uani anatafuta nini kwa wake zetu kabla ya kusalimia wenye nyumba?. Nyumba za kupitia mlango wa nyuma bana ni chache sio zote Tanzania hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom