Matumizi Bora ya Friji

Mi nyanya nazikwangua/ kublend nazichemsha zinaiva...naweka kwenye container ya plastic nafreez, zinakua kama nyanya ya kopo,ukiweka kidogo tu imekolea sana nnakaa hata miezi 6 bila kununua nyanya
Hii na Mimi niliwahi kuifanya ,zilikaa Sana,mpaka nikazichoka
 
Uzi mzuri sana huu pia wachangiaji wapo vizuri tunapata madini mengi zaidi Shukran wote.
 
Ndio, labda kuizima mara moja kwa mwezi kwaajili ya kuisafisha
Kuna shida gani kuizima?

Ukiachana na labda umeme uwe wa manati hivo ubaridi utaisha haraka vitu viharibike?
Mi huwa sizimi sijui kwanini
 
Kuna shida gani kuizima?

Ukiachana na labda umeme uwe wa manati hivo ubaridi utaisha haraka vitu viharibike?
Mi huwa sizimi sijui kwanini
Wakati nanunua waliniambia pale unapoiwasha friji inakula umeme mwingi hivyo kitendo cha washa zima washa zima nacho kinakula umeme. Pia hata ukisafiri usiizime
 
Wakati nanunua waliniambia pale unapoiwasha friji inakula umeme mwingi hivyo kitendo cha washa zima washa zima nacho kinakula umeme. Pia hata ukisafiri usiizime
Uwe makini ukiwa safarini
Usiombe circuit breaker ikakata umeme(sio luku kuisha)
Hio friji ukija utafurahi mbona
 
Tumezoea hatuzimi fridge hata tukisafiri
And i think it should be that way

ila kuna umeme kutrip wenyewe

kama umeacha vitu vya kuharibika ndani ya fridge vitaoza na kuwa kitu kama hiki hapa chini
1627036039031.jpeg
 
Back
Top Bottom