Matumaini ya mzee Lowassa yageuka kuwa shubili

Kumekuwa na kila dalili ya matumaini ya mzee Lowasa kugeuka kuwa shubili, mara baada ya uchaguzi mkuu ikiwa ni kutokana kutojua nini hasa atakachofanya mara baada ya kushindwa uchaguzi huu japo kuna kila dalili za kushitakiwa kwa matumizi mabaya ya mali za serikali pamoja na ufisadi.

Washauri wake wa karibu pamoja na marafiki wake wakuu wamezidi kumpa moyo japo ukweli wa mambo wanaufahamu fika jinsi gani mzee huyo anavoshabikiwa na watu wasiostahiki kumpigia kura, hata hivo mara baada ya Dr Magufuli kuingia ikulu kuna uwezekano Mzee akatokomea kusipojulikana jambo linalozidi kutia shaka familia yake pamoja na watu wanaomzunguka.

Aidha kwa mujibu wa vyanzo vinavyoaminika vinasema Mzee Lowassa si rahisi akapewa nafasi ya mwenyekiti wa CHADEMA japo yeye mwenyewe hiyo ni miongoni mwa plan B yake, jambo ambalo si rahisi Mbowe kumwachia nafasi hiyo kwa sasa.

Wadadisi wa maswala ya kisiasa wanazidi kutabili kwamba ujio wa Dr Magufuli ktk nafasi ya urais inaweza kuwa ni mwanzo mzuri wa kuzaliwa CCM imara itakayodhibiti vitendo vya rushwa na ubadhilifu wa raslimali za Taifa uliokuwa ukifanywa na viongozi wachache ndani ya chama chake.

Kwa mazingira hayo ukilinganisha na sera ya uadilifu waliyokuwa nayo CHADEMA hapo awali wadadisi na wafuatiliaji wa siasa wanandai chama hicho kinaenda kubakia ktka historia ya vyama vya upinzani vilivyoibuka na kuzama ghafla.

Usijidanganye wewe -----.

Magufuli hawezi kuwa rais hta ccm muibe vipi. Hata wewe uibe kura ngapi.

Makamba weweeee
 
Lowassa hawezibkuwa raisi akiwa raisi mie nitahama inchi hiii,weraaaaaaweraaaaa🏃🏃🏃🙉sumaye leo uko na huyoo uliyo msema kweli siyasa mchezo mbovu
 
Subirini mshtuko utakaowapata siku Lowasa akiapishwa kama Rais wa awamu ya tano.
 
Lowassa hawezibkuwa raisi akiwa raisi mie nitahama inchi hiii,weraaaaaaweraaaaa🏃🏃🏃🙉sumaye leo uko na huyoo uliyo msema kweli siyasa mchezo mbovu

Weka kumbukumbu maneno yako ndipo itakapokuwa kilio na kusaga meno!
 
chadema au ccm b/makapi wamejikoroga kumpokea el sasa waache wapate kitakacho wapata kama yaliompata mrema....

attachment.php
 
Je? Kama pombe atashindwa.itakuwaje.kwani yeye hana shutma
 
Umeingia kwa ID nyingine kwa ajili ya kuleta huu uongo wako, si utumie ile ile tuliyoizoea !!?? Kama kweli wewe ni Mgeni. mbona hujabisha hodi !!

Hapo tu ndio mnapochekesha aisee yaani kila kinachosemwa dhidi ya ukawa ni uongo lakini yale ya ccm yote ni kweli.

Jifunzeni kuukubali ukweli hata kama ni mchungu kama shubiri
 
jpm.jpg

Kazi mnayo...!
Lowassa anawahenyesha.

​
 
Kumekuwa na kila dalili ya matumaini ya mzee Lowasa kugeuka kuwa shubili, mara baada ya uchaguzi mkuu ikiwa ni kutokana kutojua nini hasa atakachofanya mara baada ya kushindwa uchaguzi huu japo kuna kila dalili za kushitakiwa kwa matumizi mabaya ya mali za serikali pamoja na ufisadi.

Washauri wake wa karibu pamoja na marafiki wake wakuu wamezidi kumpa moyo japo ukweli wa mambo wanaufahamu fika jinsi gani mzee huyo anavoshabikiwa na watu wasiostahiki kumpigia kura, hata hivo mara baada ya Dr Magufuli kuingia ikulu kuna uwezekano Mzee akatokomea kusipojulikana jambo linalozidi kutia shaka familia yake pamoja na watu wanaomzunguka.

Aidha kwa mujibu wa vyanzo vinavyoaminika vinasema Mzee Lowassa si rahisi akapewa nafasi ya mwenyekiti wa CHADEMA japo yeye mwenyewe hiyo ni miongoni mwa plan B yake, jambo ambalo si rahisi Mbowe kumwachia nafasi hiyo kwa sasa.

Wadadisi wa maswala ya kisiasa wanazidi kutabili kwamba ujio wa Dr Magufuli ktk nafasi ya urais inaweza kuwa ni mwanzo mzuri wa kuzaliwa CCM imara itakayodhibiti vitendo vya rushwa na ubadhilifu wa raslimali za Taifa uliokuwa ukifanywa na viongozi wachache ndani ya chama chake.

Kwa mazingira hayo ukilinganisha na sera ya uadilifu waliyokuwa nayo CHADEMA hapo awali wadadisi na wafuatiliaji wa siasa wanandai chama hicho kinaenda kubakia ktka historia ya vyama vya upinzani vilivyoibuka na kuzama ghafla.

Ni vyema kwamba wadadisi wa mambo ya kisisasa wanatambua kwamba fisiem ni dhaifu.
 
Co lazima kuwa mchambuz unaweza kuwa mchangiaji tu nabado ukaheshimiwa

Haki ikitendeka hapo ni sawa lakini sio ashtakiwe yeye peke yake, japo watakuw hawajafanya wamemuandama yeye, issue ya lowassa iko na wengi ambao bado wapo ccm
 
Kumekuwa na kila dalili ya matumaini ya mzee Lowasa kugeuka kuwa shubili, mara baada ya uchaguzi mkuu ikiwa ni kutokana kutojua nini hasa atakachofanya mara baada ya kushindwa uchaguzi huu japo kuna kila dalili za kushitakiwa kwa matumizi mabaya ya mali za serikali pamoja na ufisadi.

Washauri wake wa karibu pamoja na marafiki wake wakuu wamezidi kumpa moyo japo ukweli wa mambo wanaufahamu fika jinsi gani mzee huyo anavoshabikiwa na watu wasiostahiki kumpigia kura, hata hivo mara baada ya Dr Magufuli kuingia ikulu kuna uwezekano Mzee akatokomea kusipojulikana jambo linalozidi kutia shaka familia yake pamoja na watu wanaomzunguka.

Aidha kwa mujibu wa vyanzo vinavyoaminika vinasema Mzee Lowassa si rahisi akapewa nafasi ya mwenyekiti wa CHADEMA japo yeye mwenyewe hiyo ni miongoni mwa plan B yake, jambo ambalo si rahisi Mbowe kumwachia nafasi hiyo kwa sasa.

Wadadisi wa maswala ya kisiasa wanazidi kutabili kwamba ujio wa Dr Magufuli ktk nafasi ya urais inaweza kuwa ni mwanzo mzuri wa kuzaliwa CCM imara itakayodhibiti vitendo vya rushwa na ubadhilifu wa raslimali za Taifa uliokuwa ukifanywa na viongozi wachache ndani ya chama chake.

Kwa mazingira hayo ukilinganisha na sera ya uadilifu waliyokuwa nayo CHADEMA hapo awali wadadisi na wafuatiliaji wa siasa wanandai chama hicho kinaenda kubakia ktka historia ya vyama vya upinzani vilivyoibuka na kuzama ghafla.

= shubiri
= kutabiri

#HapaKaziTu
 
CCM ni KIBOKO yaani 2015 inafika Makada wake ndio wanaitawala SIASA ya Tanzania? Kweli CCM ni watu wa mipango yaani unawapiga chini waliokihangaikia Chama miaka yote na kupigwa virungu, Mabomu, n.k.baadae wanakuja kiulaini MA CCM wanateka CHAMA?
Ni kweli CCM ni Wataalamu
 
Itabaki history tu kwa chama hicho ambacho sasa kina kwenda kumeguka muda wowote mwisho wa chama hicho.utakuwa ni october 2.mbowe hawezi kuiachia ile saccos ya baba mkwe kirahisi hivyo anakwenda kubaki kufanayo
 
Back
Top Bottom