Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,718
- 6,979
Last edited by a moderator:
Robojosoni
1. Ugonjwa
2. Udini
3. Shubili
4. .....
5. ......
Kachukue book 7 yako Lumumba, leo umeongoza kwa propoganda
TATIZO LAKO LIKO HAPO CHINI
Junior Member Array
Join Date : 12th September 2015
Posts : 3
Rep Power :0
Likes Received0
Likes Given0
tunatak, wewew na nani? usitusemee wengine, sema wewe unataka mabadiliko, usipende kuwajumlisha na wengine
Ukweli unauma sana
Waonee huruma wanywa viroba mkuu make ukisema hivyo tu tayari wÃ-nafura wanakuwa kama anaconda ..babu yao kijeba anashindwa hata kuhesabu moja mpaka 50
Co lazima kuwa mchambuz unaweza kuwa mchangiaji tu nabado ukaheshimiwa
Wakati anachukua fomu alisema kuwa atatekeleza Ilani ya chama cha Mapinduzi (CCM) kuna jipya hapo zaidi ya historia? Maisha bora kwa kila mtanzania, Ari mpya kasi mpya, na mwaka huu ni Hapa kazi tu!!!!!!!!!!
Watanzania wamechoka wanataka mabadiliko tu.
tunatak, wewew na nani? usitusemee wengine, sema wewe unataka mabadiliko, usipende kuwajumlisha na wengine
So whattt?
Umeingia kwa ID nyingine kwa ajili ya kuleta huu uongo wako, si utumie ile ile tuliyoizoea !!?? Kama kweli wewe ni Mgeni. mbona hujabisha hodi !!
Kumekuwa na kila dalili ya matumaini ya mzee Lowasa kugeuka kuwa shubili, mara baada ya uchaguzi mkuu ikiwa ni kutokana kutojua nini hasa atakachofanya mara baada ya kushindwa uchaguzi huu japo kuna kila dalili za kushitakiwa kwa matumizi mabaya ya mali za serikali pamoja na ufisadi.
Washauri wake wa karibu pamoja na marafiki wake wakuu wamezidi kumpa moyo japo ukweli wa mambo wanaufahamu fika jinsi gani mzee huyo anavoshabikiwa na watu wasiostahiki kumpigia kura, hata hivo mara baada ya Dr Magufuli kuingia ikulu kuna uwezekano Mzee akatokomea kusipojulikana jambo linalozidi kutia shaka familia yake pamoja na watu wanaomzunguka.
Aidha kwa mujibu wa vyanzo vinavyoaminika vinasema Mzee Lowassa si rahisi akapewa nafasi ya mwenyekiti wa CHADEMA japo yeye mwenyewe hiyo ni miongoni mwa plan B yake, jambo ambalo si rahisi Mbowe kumwachia nafasi hiyo kwa sasa.
Wadadisi wa maswala ya kisiasa wanazidi kutabili kwamba ujio wa Dr Magufuli ktk nafasi ya urais inaweza kuwa ni mwanzo mzuri wa kuzaliwa CCM imara itakayodhibiti vitendo vya rushwa na ubadhilifu wa raslimali za Taifa uliokuwa ukifanywa na viongozi wachache ndani ya chama chake.
Kwa mazingira hayo ukilinganisha na sera ya uadilifu waliyokuwa nayo CHADEMA hapo awali wadadisi na wafuatiliaji wa siasa wanandai chama hicho kinaenda kubakia ktka historia ya vyama vya upinzani vilivyoibuka na kuzama ghafla.