Matumaini ya mzee Lowassa yageuka kuwa shubili

Robethn

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2015
Posts
2,103
Reaction score
354
Kumekuwa na kila dalili ya matumaini ya mzee Lowasa kugeuka kuwa shubili, mara baada ya uchaguzi mkuu ikiwa ni kutokana kutojua nini hasa atakachofanya mara baada ya kushindwa uchaguzi huu japo kuna kila dalili za kushitakiwa kwa matumizi mabaya ya mali za serikali pamoja na ufisadi.

Washauri wake wa karibu pamoja na marafiki wake wakuu wamezidi kumpa moyo japo ukweli wa mambo wanaufahamu fika jinsi gani mzee huyo anavoshabikiwa na watu wasiostahiki kumpigia kura, hata hivo mara baada ya Dr Magufuli kuingia ikulu kuna uwezekano Mzee akatokomea kusipojulikana jambo linalozidi kutia shaka familia yake pamoja na watu wanaomzunguka.

Aidha kwa mujibu wa vyanzo vinavyoaminika vinasema Mzee Lowassa si rahisi akapewa nafasi ya mwenyekiti wa CHADEMA japo yeye mwenyewe hiyo ni miongoni mwa plan B yake, jambo ambalo si rahisi Mbowe kumwachia nafasi hiyo kwa sasa.

Wadadisi wa maswala ya kisiasa wanazidi kutabili kwamba ujio wa Dr Magufuli ktk nafasi ya urais inaweza kuwa ni mwanzo mzuri wa kuzaliwa CCM imara itakayodhibiti vitendo vya rushwa na ubadhilifu wa raslimali za Taifa uliokuwa ukifanywa na viongozi wachache ndani ya chama chake.

Kwa mazingira hayo ukilinganisha na sera ya uadilifu waliyokuwa nayo CHADEMA hapo awali wadadisi na wafuatiliaji wa siasa wanandai chama hicho kinaenda kubakia ktka historia ya vyama vya upinzani vilivyoibuka na kuzama ghafla.
 
[TABLE="class: cf gJ"]
[TR="class: acZ xD"]
[TD="colspan: 3"]
[TABLE="class: cf adz"]
[TR]
[TD="class: ady"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

MATUMAINI YA MZEE LOWASA YAGEUKA KUWA SHUBILI

Kumekuwa na kila dalili ya matumaini ya mzee Lowasa kugeuka kuwa shubili, mara baada ya uchaguzi mkuu ikiwa ni kutokana kutojua nini hasa atakachofanya mara baada ya kushindwa uchaguzi huu japo kuna kila dalili za kushitakiwa kwa matumizi mabaya ya mali za serikali pamoja na ufisadi.

Washauri wake wa karibu pamoja na marafiki wake wakuu wamezidi kumpa moyo japo ukweli wa mambo wanaufahamu fika jinsi gani mzee huyo anavoshabikiwa na watu wasiostahiki kumpigia kura, hata hivo mara baada ya Dr Magufuli kuingia ikulu kuna uwezekano Mzee akatokomea kusipojulikana jambo linalozidi kutia shaka familia yake pamoja na watu wanaomzunguka.

Aidha kwa mujibu wa vyanzo vinavyoaminika vinasema Mzee Lowasa si rahisi akapewa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema japo yeye mwenyewe hiyo ni miongoni mwa plan B yake, jambo ambalo si rahisi Mboye kumwachia nafasi hiyo kwa sasa.

Wadadisi wa maswala ya kisiasa wanazidi kutabili kwamba ujio wa Dr Magufuli ktk nafasi ya urais inaweza kuwa ni mwanzo mzuri wa kuzaliwa CCM imara itakayodhibiti vitendo vya rushwa na ubadhilifu wa raslimali za Taifa uliokuwa ukifanywa na viongozi wachache ndani ya chama chake.

Kwa mazingira hayo ukilinganisha na sera ya uadilifu waliyokuwa nayo Chadema hapo awali wadadisi na wafuatiliaji wa siasa wanandai chama hicho kinaenda kubakia ktka historia ya vyama vya upinzani vilivyoibuka na kuzama ghafla.

TATIZO LAKO LIKO HAPO CHINI
Junior Member Array
Join Date : 12th September 2015
Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
 
Wakati anachukua fomu alisema kuwa atatekeleza Ilani ya chama cha Mapinduzi (CCM) kuna jipya hapo zaidi ya historia? Maisha bora kwa kila mtanzania, Ari mpya kasi mpya, na mwaka huu ni Hapa kazi tu!!!!!!!!!!

Watanzania wamechoka wanataka mabadiliko tu.
 
Mzee alidanganyika si rahisi akapewa nafasi ya uenyekiti wa chama.
 
Duuh Kitengo cha IT masaki kazi mnayo.

Trust me, huyu muanzisha thread anafanya hivi kutimiza agizo la mamlaka ya juu, lkn tar 25 atampigia kura Lowassa, TRUST ME
 
Akili yako haijakomaa ukizingatia wewe ni junior member humu jamvini. Nenda kachukue buku tano lumumba huna jipya! Hili ni jamvi la Great Thinkers! Watu wenye akili ndogo kama yako hawahitajiki humu! Acha kukurupuka kwa mambo usiyayajua. Inamaana wewe unaakili kuliko Lowassa. Mbona JF ipo siki zote leo ndo umeona uje kueneza umbea wako humu. Umekula maharage ya wapi wewe?
 
Umeingia kwa ID nyingine kwa ajili ya kuleta huu uongo wako, si utumie ile ile tuliyoizoea !!?? Kama kweli wewe ni Mgeni. mbona hujabisha hodi !!
 
Swala sio muda mrefu kuwa humu kama kasema point huwezi kataa bila sababu, leteni zenu.
 
Spidi bado ni kali,break baada ya uchaguzi,adui namba moja wa nchi hii ni fisiem,ndo maana hata wezi wa epa walorudisha hela hawajatajwa mpaka sasa,wauza unga hawajatajwa,walouza twiga hawajatajwa,wa kagoda,meremeta,pembe za ndovu,holaa!! Kila kukicha kashfa mpya mara escrow,mara,vichwa vya train huku feri mbovu,hey you guys,adui wa nchi ni mfumo wa ccm utakaongolewa na ukawa rasmi 25/10
 
TATIZO LAKO LIKO HAPO CHINI
Junior Member Array
Join Date : 12th September 2015
Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

kaka hawa ni grup la uvccm lililo pewa kazi maalum ya kupiga domo hapa jukwaani,
 
Kumekuwa na kila dalili ya matumaini ya mzee Lowasa kugeuka kuwa shubili, mara baada ya uchaguzi mkuu ikiwa ni kutokana kutojua nini hasa atakachofanya mara baada ya kushindwa uchaguzi huu japo kuna kila dalili za kushitakiwa kwa matumizi mabaya ya mali za serikali pamoja na ufisadi.

Washauri wake wa karibu pamoja na marafiki wake wakuu wamezidi kumpa moyo japo ukweli wa mambo wanaufahamu fika jinsi gani mzee huyo anavoshabikiwa na watu wasiostahiki kumpigia kura, hata hivo mara baada ya Dr Magufuli kuingia ikulu kuna uwezekano Mzee akatokomea kusipojulikana jambo linalozidi kutia shaka familia yake pamoja na watu wanaomzunguka.

Aidha kwa mujibu wa vyanzo vinavyoaminika vinasema Mzee Lowassa si rahisi akapewa nafasi ya mwenyekiti wa CHADEMA japo yeye mwenyewe hiyo ni miongoni mwa plan B yake, jambo ambalo si rahisi Mboye kumwachia nafasi hiyo kwa sasa.

Wadadisi wa maswala ya kisiasa wanazidi kutabili kwamba ujio wa Dr Magufuli ktk nafasi ya urais inaweza kuwa ni mwanzo mzuri wa kuzaliwa CCM imara itakayodhibiti vitendo vya rushwa na ubadhilifu wa raslimali za Taifa uliokuwa ukifanywa na viongozi wachache ndani ya chama chake.

Kwa mazingira hayo ukilinganisha na sera ya uadilifu waliyokuwa nayo CHADEMA hapo awali wadadisi na wafuatiliaji wa siasa wanandai chama hicho kinaenda kubakia ktka historia ya vyama vya upinzani vilivyoibuka na kuzama ghafla.

Kwani hao "wadadisi"wa mambo ya kisiasa ndio kina nani?
Huo ni uchwara tu...unakaa kijiweni unaandika ujinga humu...njaa itakuua!
Kachukue hela ya msokoto na kiroba pale Lumumba
 
Back
Top Bottom