Matukio ya kukumbukwa

theory ya toilet paper!!
nijuavyo ikishatumiwa hutupwa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huu ni ugomvi wa mawe kabisa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kubabaake wote hawa wanaisoma namba
 
Ni kweli mkuu. ...hao wanaangaliaga maslahi tu
 
Bongo movie chalii sasa hivi..namba zinaesabika za kirumi kwao.
 
2020 unakuja, tume huru ya uchaguzi Tanzania idaiwe sana.
 
Ha ha ha! wewe unapenda sifa sana
utaitwa mchochezi
Teh!teh!!Sawa tu acha niwe Mr.Misifa kwani pia nishakubaliana na mama kijacho tumwite Mwanamchochezi.
 
Teh!teh!!Sawa tu acha niwe Mr.Misifa kwani pia nishakubaliana na mama kijacho tumwite Mwanamchochezi.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
mwambie mama kijacho asijefanya makosa tena mwanamchochezi awe kumbukumbu tu
 
Siamini kam ndio wao....[emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…