Yaan huo mwaka ndio alipogundua matumizi sahihi ya mikono yake?😊😊☺️atakuja mtu atasema ndio mwaka alio jisajili CHAPUTA.
Miaka 20 imepita mkuu, na Kama mtu alimaliza standard seven 2004 Sasa ivi atakua na 34's kima Cha Chini...Yaan huo mwaka ndio alipogundua matumizi sahihi ya mikono yake?
Yaan hapo atakua ni mwenye cheo gani huko chamani? Chama cha wakwezi wa minazi kwa kutumia mkono mmojaMiaka 20 imepita mkuu, na Kama mtu alimaliza standard seven 2004 Sasa ivi atakua na 34's kima Cha Chini...
Cc. dronedrake 😂🤣Yaan hapo atakua ni mwenye cheo gani huko chamani? Chama cha wakwezi wa minazi kwa kutumia mkono mmoja
Tsunami ilikua balaa huko fukwe za bahari ya Hindi...Tsunami la bahari ya Hindi. Tarehe 26, Disemba, 2004.
Zaidi ya watu 200,000 walipoteza maisha.
Nchi 14/15 ziliathirika, Tanzania ikiwa mojawapo.
Takriban watu 10 walipoteza maisha Tanzania.
Mawimbi yake yalifikia hadi futi 100!Tsunami ilikua balaa huko fukwe za bahari ya Hindi...
Yaan ukiangalia YouTube ni BALAA
Aah Washikaji zangu eeh sukari imeingia shubiri uwazi tuuweke mbele usione sooo, tuongee kuhusu subira.. washikaji msione soo.. tuongee kuhusu kinga.. washikaji msione sooTukio lingine la kukumbukwa mwaka 2004 ni lile la kibao cha wimbo unaohusu masuala mazima ya Virus vya Ukimwi na Ukimwi kilichotambulika km 'Usione Soo, Sema Nae', kibao hicho kilifanywa na wasanii wa kipindi hicho ambao walikua wanatamba sana kimuziki kuanzia kwenye redio mpaka kwenye Televisheni, wasanii hao wakiwa chini ya Ishi Organization in Tanzania iliyoendesha Ishi Campaign ambapo wasanii hao waliunda kundi lililofahamika km 'Ishi Stars'.
Kundi hilo lilisheheni wasanii wakali wa kipindi hicho km vile Pauline Zongo, Stara Thomas, Banana Zoro, Benjamin wa Mambo Jambo, Mr Paul, Solo Thang, Raha P, Dataz, Patricia,
Huku chorus ya wimbo huo ikiimba :
“Usione soo sema naye, kuhuusu kusubiri, kuwa mwaminifu au tumia kondom. (Don’t be shy. Talk with your partner about abstinence, being faithful, or using a condom).”
View attachment 3131178
Miaka 20 imepita kumbuka km walikua na 20 sasa wana 40 km walikua na 30 sasa wanachezea 50 km walikua na 40 sasa ni 60Hawa wa kwenye tangazo sasa hivi ni wazee .............na kuna lile tangazo liliwekwa pale ferry la condom........wale wote wazee sasa hivi
Hii ndio yenyewe sasa, umenikumbusha mbali sana.Tukio lingine la kukumbukwa mwaka 2004 ni lile la kibao cha wimbo unaohusu masuala mazima ya Virus vya Ukimwi na Ukimwi kilichotambulika km 'Usione Soo, Sema Nae', kibao hicho kilifanywa na wasanii wa kipindi hicho ambao walikua wanatamba sana kimuziki kuanzia kwenye redio mpaka kwenye Televisheni, wasanii hao wakiwa chini ya Ishi Organization in Tanzania iliyoendesha Ishi Campaign ambapo wasanii hao waliunda kundi lililofahamika km 'Ishi Stars'.
Kundi hilo lilisheheni wasanii wakali wa kipindi hicho km vile Pauline Zongo, Stara Thomas, Banana Zoro, Benjamin wa Mambo Jambo, Mr Paul, Solo Thang, Raha P, Dataz, Patricia,
Huku chorus ya wimbo huo ikiimba :
“Usione soo sema naye, kuhuusu kusubiri, kuwa mwaminifu au tumia kondom. (Don’t be shy. Talk with your partner about abstinence, being faithful, or using a condom).”
View attachment 3131178