Matrafiki wa Tanzania hawajui wanachokifanya

Mi nilikoma juzi,Morocco,pale nilikuwa natokea Morocco nakata cona kama ndo naanza safari ya kuja mwenge,nimeingia vizuri barabarani ikiwa ni pamoja na kuangalia upande unapotoka magari kwa usalama,ile naingia tu upande nilioangalia na hakukua na gari Mara ambulance ya jeshi hiyo nikakunja pembeni ipite,mbele trafic kanikamata kwanini umeingia barabarani wakati ambulance inapita,nikamjibu kuwa hakukua na ambulance kipindi naingia barabarani na siajabu kwa ambulance kuibuka tu maana mwendo wake huwa ni mkali sana,ila wakati naingia haikuepo,swali lingine likaja,wewe hukusikia hata sauti nikamjibu vioo nilikuwa nimefunga,ila kwa speed ile ka ningekuwa nimeona na kuingia barabarani basi ingenigonga ndo maana nakwambia haikuwepo,na Mimi nayapenda maisha yangu na gari yangu siwezi kujiingiza kwenye barabara wakati kuna ambulance inakuja kwa kasi vile,basi akaawa mkali pale mwisho wake tukayamaliza sisi ni watanzania tunakusameheana sometime,teh teh teh
 
Bila shaka wewe utakuwa traffic pia na utakuwa ni wale ambao hawana kitu kabisa begani, naona tu unavyotoa povu afande

Tena wewe utakuwa hata fomu foo felia hauna maana sio kwa huo mwandiko wako pot lakini ukweli utabaki kuwa ukweli mnakera sana aisee harafu haimanishi kuwa kufeli kwako eti huwezi ongoza msafara wa kiongozi 70% ya watanzania wamezaliwa vijijini na wamelelewa na mama ambao wengi wao hata shule hawana ila wamekuwa vzr tu

Sasa hata nyie mkubari kuwa wengi wenu ni mbumbumbu tena haswaaa! yaani hamna shule kabisa japo kuna mengine mnayafanya vzr pia
Japo umemshambulia mwenzako hapo juu dhidi ya uandishi wake, ni vyema ukajichunguza ulichokiandika pia, kama kinafuata misingi ya uandishi kwa elimu yako uliyomzidi huyo fomu foo felia. Tangu umeanza neno la kwanza mpaka la mwisho sijaona alama ya nukta, mkato uko sehemu moja tu, hamna kiulizo, wala alama nyingine za uandishi.

Harafu=Halafu
Mkubari=Mkubali
 
Na wewe unampangia nani cha kufanya au ndo wale wa dunia nzima ni house girl tu ndo anayekuita boss
Lakini uzuri ni kwamba fomu foo felia nae anapangiwa cha kufanya na PHD holder mwenzetu pale Magogoni, na ndio maana huyo fomu foo felia mwenzako hana aloamua yeye mpaka atumwe (apewe maelezo na boss wake)

Yaani maana ake felia ni felia tu haachiwi aamue mambo yeye
 
Poti umemwaga povu balaa,ila kuna kaukweli flan umekaongea,tusidharau kaz ya mtu,na pia tuwe fair kwenye idara zetu,...mwaga upupu askari,,,EBOO Wasitupeleke kindezi
Nimecheka kinoma tena kwa sauti .Umesahau kuwa ili uwe dereva ulifanyiwa usahili na Traffic hao hao,Umesahau ukipata ajali wanakuhudumia ili upate kulipwa bima ni hao hao,Umesahau kuwa hao hao ndiyo wanaoongoza misafara yote viongozi wa nchi,Umesahau kuwa hao Traffick ndiyo wanaoongoza hili jiji LA Dar es salaam katika junction .Umesahau kuwa magari yote ya hili jiji asubuhi yanakwenda posta na kariakoo na jioni ndiyo yanarudi ,He Umesahau wanaomiliki magari wengi wao wanatokea kuanzia mwenge kueleke boko?.Kumbuka tena kuna barabara nyingine kutoka salender bridge kuja mwenge zina magari mengi sana na zinajaza magari bagamoyo road. Mwisho nakokotoa kwa kusema taifa hili linawhandisi majinga kuliko waandisi wote duniani wameshindwa kubuni mbinu mbadala ya kutatua foleni za hii nchi wameachia Traffic wafanye hiyo kazi. Mwisho wewe unayetokea Ubungo huu muda huna umuhimu sana kama anayetokea Posta maana ofisi zote za serikali zipo Posta ofisi za mashirika na makampuniy makubwa zipo posta,mabenki yote yapo posta na wanaotokea airport wanapita nyerere road wanaingia Ally hassan mwinyi kisha Bagamoyo road .Sasa wewe umetoka wapi?.Bila shaka wewe ni mpiga debe wa pale Ubungo stendi unatusumbua wasafiri tunaotaka kwenda mikoani. Kumbuka tena huwezi kupata elimu ya Usalama barabarani kokote kule bila kuwa afisa wa polisi maana wewe utafundishwa kanuni,sheria na alama za barabarani,Ila hutofundishwa barabarani gani ipendelewe zaidi kuliko nyingine,Hutofundishwa kujua misafara ya siri yaviongozi inakuaje,Hutofundishwa majambazi wablokiwa vipi barabarani,Hutofundishwa kupeleleza ajali inapimwa vipi ,Hivyo hata use na PHD yako ya nyuki au kujenga maghorofa bila kwenda chuo cha polisi wewe ni mbumbumbu sana kuliko yule form failure unayemsema ambaye amefundishwa kufanya kazi kama mwanajeshi inapobidi kutumia medani hizo rejea kumbukumbu ujambazi Ubungo ,kufanya kazi kama daktari anapokuokoa unapopata ajali au kuzoa mzoga wako unapkuwa umesagwa na lorry, anapofanya kazi kama mwanasheria anapokupeleka mahakamani upate haki yako ulipwe bima au ufungwe kwa madhara uliyesababisha ,Kumbuka Huyo ndiye anayskuokoa kwa kukumbusha funga mkanda ukipata ajali utachomoka. Tuulizane swali rahisi tu hivi MTU Aliyepata form Four failure ndiye anayeajiriwa na serikali? Hivi wewe kwenye hicho chuo kikuu ulichosoma hakuna wahitimu wanaofanya kazi polisi? Je hao unaowajua unafikiri wakati wanaajiriwa walianzia na cheo kikubwa?.Je unafikiri huyo Traffic anayekupimia ajali uliyesababisha,unayekujazia taarifa zako vizuri mpaka unapata lesseni, anayekutolea ushaidi mahakamani mpaka unafungwa ? Bado unaamini hana elimu.Je wahitimi wa vyuo vikuu huwa wanafanya usahili wa ajira katika polisi ili iweje .au ukishajiliwa na polisi tu hata kama unaphd unakuwa form four failure. Acha hasira kwa vitu usivyovijua umaskini wa nchi hii ni mkubwa sana na aibu kubwa inaficha na hawa Mapolisi maana bila kufanya hayo wayafanyao mambo huwa hovyohovyo .
 
Hivi kwa nn wasiache tu taa zikatenda haki?,
Nimecheka kama mazuri

Hiyo hali inakera sana,traffic anaruhusu gari za upande mmoja tu hadi unajiuliza kuna nini huo upande,sometimes gari za upande anaoruhusu zinapungua sana lakini bado tu yuko upande huo huo

Ni kama ana visasi na pande zingine
 
Japo umemshambulia mwenzako hapo juu dhidi ya uandishi wake, ni vyema ukajichunguza ulichokiandika pia, kama kinafuata misingi ya uandishi kwa elimu yako uliyomzidi huyo fomu foo felia. Tangu umeanza neno la kwanza mpaka la mwisho sijaona alama ya nukta, mkato uko sehemu moja tu, hamna kiulizo, wala alama nyingine za uandishi.

Harafu=Halafu
Mkubari=Mkubali
Tofauti yako wewe na huyo poti fomu foo felia haipo, kama huwezi kujua kwamba kuna watu wana PHD na hawajui kuandika sababu labda hawakubobea kwenye uandishi au lugha

Wewe ndo wale wanaoamini kuwa mtu akiongea tu kiingereza ni msomi (kumbe ile ni lugha tu kama kisukuma, sema labda ina wazungumzaji wengi)

Na upopoma wako unajifanya kunikosoa, kwa taarifa yako mimi nina taaluma ya afya, kuandika kwangu haraka kusikufanye unilinganishe na hao fomu foo felia wanaotumia nguvu 99.9%, akili 0.1%

Me kazi yangu 100% ni akili nguvu natumia 0.00000%, kwanza mpango wa Mungu kazi ya ulinzi ilikuwa ya mbwa tu! Hao watu wanaojiita maafande wamechukua kazi ya mbwa na watahukumia siku ya kiama kumpoka mbwa kazi yake
 
Huwa najikuta nina hasira sana pale napomuona traffik au askari yeyote barabarani kiukweli, kuna siku natoka Tanga kwenda Arusha kwa basi la abiria

Tulipofika sijui Mwanga mbele ya Same tukakuta maafande pale, mmoja akaingia ndani akawa anakagua mabegi ya abiria kwa kuminya minya alipofika kwangu nilikuwa na mfuko nina parachichi akawa anaminya nikamwambia kuna parachichi asiminye yatatoboka akawa anakaidi

Tukabishana pale akanishusha kutoka kwenye gari tena kwa kunisukuma kwa nguvu, nikamwambia anataka makuu yaani alinidhalilisha sana tena alivyokuwa wakiume na alikuwa kanishika shika nakasema huyu namfungulia kesi ya kunidharilisha

Tulisumbuana sana kiukweli mwisho wa siku akanilipa pesa kidogo nisiende mbele, tatizo lao wanajifanyaga wajuaji kweli yaani wajikuta wanajua kila kitu yaani harafu ubabe ubabe yaani ukiwa chini yao ufuate kila kitu wanachotaka

Nikiwa pale nilijaribu kupiga simu eti wakanizuia nikajiuliza ni sheria ipi inayo zuia mtu kuwasiliana na mtu wake mfano pale nilitaka kumpigia rafiki yangu yupo kituo cha haki za binadamu Arusha
 
Nimecheka kinoma tena kwa sauti .Umesahau kuwa ili uwe dereva ulifanyiwa usahili na Traffic hao hao,Umesahau ukipata ajali wanakuhudumia ili upate kulipwa bima ni hao hao,Umesahau kuwa hao hao ndiyo wanaoongoza misafara yote viongozi wa nchi,Umesahau kuwa hao Traffick ndiyo wanaoongoza hili jiji LA Dar es salaam katika junction .Umesahau kuwa magari yote ya hili jiji asubuhi yanakwenda posta na kariakoo na jioni ndiyo yanarudi ,He Umesahau wanaomiliki magari wengi wao wanatokea kuanzia mwenge kueleke boko?.Kumbuka tena kuna barabara nyingine kutoka salender bridge kuja mwenge zina magari mengi sana na zinajaza magari bagamoyo road. Mwisho nakokotoa kwa kusema taifa hili linawhandisi majinga kuliko waandisi wote duniani wameshindwa kubuni mbinu mbadala ya kutatua foleni za hii nchi wameachia Traffic wafanye hiyo kazi. Mwisho wewe unayetokea Ubungo huu muda huna umuhimu sana kama anayetokea Posta maana ofisi zote za serikali zipo Posta ofisi za mashirika na makampuniy makubwa zipo posta,mabenki yote yapo posta na wanaotokea airport wanapita nyerere road wanaingia Ally hassan mwinyi kisha Bagamoyo road .Sasa wewe umetoka wapi?.Bila shaka wewe ni mpiga debe wa pale Ubungo stendi unatusumbua wasafiri tunaotaka kwenda mikoani. Kumbuka tena huwezi kupata elimu ya Usalama barabarani kokote kule bila kuwa afisa wa polisi maana wewe utafundishwa kanuni,sheria na alama za barabarani,Ila hutofundishwa barabarani gani ipendelewe zaidi kuliko nyingine,Hutofundishwa kujua misafara ya siri yaviongozi inakuaje,Hutofundishwa majambazi wablokiwa vipi barabarani,Hutofundishwa kupeleleza ajali inapimwa vipi ,Hivyo hata use na PHD yako ya nyuki au kujenga maghorofa bila kwenda chuo cha polisi wewe ni mbumbumbu sana kuliko yule form failure unayemsema ambaye amefundishwa kufanya kazi kama mwanajeshi inapobidi kutumia medani hizo rejea kumbukumbu ujambazi Ubungo ,kufanya kazi kama daktari anapokuokoa unapopata ajali au kuzoa mzoga wako unapkuwa umesagwa na lorry, anapofanya kazi kama mwanasheria anapokupeleka mahakamani upate haki yako ulipwe bima au ufungwe kwa madhara uliyesababisha ,Kumbuka Huyo ndiye anayskuokoa kwa kukumbusha funga mkanda ukipata ajali utachomoka. Tuulizane swali rahisi tu hivi MTU Aliyepata form Four failure ndiye anayeajiriwa na serikali? Hivi wewe kwenye hicho chuo kikuu ulichosoma hakuna wahitimu wanaofanya kazi polisi? Je hao unaowajua unafikiri wakati wanaajiriwa walianzia na cheo kikubwa?.Je unafikiri huyo Traffic anayekupimia ajali uliyesababisha,unayekujazia taarifa zako vizuri mpaka unapata lesseni, anayekutolea ushaidi mahakamani mpaka unafungwa ? Bado unaamini hana elimu.Je wahitimi wa vyuo vikuu huwa wanafanya usahili wa ajira katika polisi ili iweje .au ukishajiliwa na polisi tu hata kama unaphd unakuwa form four failure. Acha hasira kwa vitu usivyovijua umaskini wa nchi hii ni mkubwa sana na aibu kubwa inaficha na hawa Mapolisi maana bila kufanya hayo wayafanyao mambo huwa hovyohovyo .
Mkuu ni vema kujadili HOJA sio mtoa HOJA ,na tuna haki ya kutofautiana kimawazo ndio maana ya mjadala,umeelezea mengi lakini haya ndio matunda ya kuishi in a shithole country,elewa SIO WAJIBU wa traffic officers kufundisha madereva,madereva watarajiwa walitakiwa wanakwenda kwenye driving school kujifunza uendeshaji na sheria za usalama barabarani,BUT ni WAJIBU wa traffic officers kuwatahini madereva watarajiwa na kuwapatia driving licence kwa waliofaulu;SIO WAJIBU wa traffic officers kuwahudumia watu waliopata AJALI.ELEWA kama huna utaalamu wa utabibu huruhusiwi hata kumgusa mtu aliyepata AJALI,tRAFFIC OFFICERS KAZI YAO NI KUTOA TAARIFA KWA WATAALAM WAFIKE ENEO LA AJARI,kazi yao ni to secure eneo la ajali tu;na masuala ya BIMA hawahusiki kabisa ,wao ni wajibu wao kuiandikia taarifa ajali then wahusika manafuatilia kupata case number kwa ajili ya madai ya bima .ni vema tukawa tunajibu hoja na kuijadili kuliko kumjadili mtoa hoja au mchangiaji.
 
Mkuu ulitaka usikaguliwe ulikuwa na mzigo haramu umechanganya na parachichi?

Askari amefundishwa utii bila shuruti l,Nadhani ulitumia lugha chafu Ndio maana ulishushwa

Huyo Rafiki yako Ulitaka akusaidie nini?
Huwa najikuta nina hasira sana pale napomuona traffik au askari yeyote barabarani kiukweli, kuna siku natoka Tanga kwenda Arusha kwa basi la abiria

Tulipofika sijui Mwanga mbele ya Same tukakuta maafande pale, mmoja akaingia ndani akawa anakagua mabegi ya abiria kwa kuminya minya alipofika kwangu nilikuwa na mfuko nina parachichi akawa anaminya nikamwambia kuna parachichi asiminye yatatoboka akawa anakaidi

Tukabishana pale akanishusha kutoka kwenye gari tena kwa kunisukuma kwa nguvu, nikamwambia anataka makuu yaani alinidhalilisha sana tena alivyokuwa wakiume na alikuwa kanishika shika nakasema huyu namfungulia kesi ya kunidharilisha

Tulisumbuana sana kiukweli mwisho wa siku akanilipa pesa kidogo nisiende mbele, tatizo lao wanajifanyaga wajuaji kweli yaani wajikuta wanajua kila kitu yaani harafu ubabe ubabe yaani ukiwa chini yao ufuate kila kitu wanachotaka

Nikiwa pale nilijaribu kupiga simu eti wakanizuia nikajiuliza ni sheria ipi inayo zuia mtu kuwasiliana na mtu wake mfano pale nilitaka kumpigia rafiki yangu yupo kituo cha haki za binadamu Arusha
 
Jana ilizidi duu....mbaya zaidi in zile daladala za k/koo -makumbusho kupitia mwenge then mabibo kituo chao kimehamishiwa upande wa coca cola basi weee ilikuwa HATARI

Ni kweli kabisa hizo daladala zitakua zinachangia lakini hapo kukaa nusu saa o zaidi ni kawaida

Cc Kingsmann
 
Huwa najikuta nina hasira sana pale napomuona traffik au askari yeyote barabarani kiukweli, kuna siku natoka Tanga kwenda Arusha kwa basi la abiria

Tulipofika sijui Mwanga mbele ya Same tukakuta maafande pale, mmoja akaingia ndani akawa anakagua mabegi ya abiria kwa kuminya minya alipofika kwangu nilikuwa na mfuko nina parachichi akawa anaminya nikamwambia kuna parachichi asiminye yatatoboka akawa anakaidi

Tukabishana pale akanishusha kutoka kwenye gari tena kwa kunisukuma kwa nguvu, nikamwambia anataka makuu yaani alinidhalilisha sana tena alivyokuwa wakiume na alikuwa kanishika shika nakasema huyu namfungulia kesi ya kunidharilisha

Tulisumbuana sana kiukweli mwisho wa siku akanilipa pesa kidogo nisiende mbele, tatizo lao wanajifanyaga wajuaji kweli yaani wajikuta wanajua kila kitu yaani harafu ubabe ubabe yaani ukiwa chini yao ufuate kila kitu wanachotaka

Nikiwa pale nilijaribu kupiga simu eti wakanizuia nikajiuliza ni sheria ipi inayo zuia mtu kuwasiliana na mtu wake mfano pale nilitaka kumpigia rafiki yangu yupo kituo cha haki za binadamu Arusha
sasa wewe maparachichi matunda yameminywa unarusha ngumi,halafu huko juu unadai unatumia 100% kufikiri hakuna nguvu.

hukufikiri tu kidogo kwamba kazi aliyokuwa akiifanya hapo ni kubwa kuliko maparachichi yako.nyie ndio mnawafanya traffic/polisi wawadharirishe bila ulazima.
 
Mkuu ulitaka usikaguliwe ulikuwa na mzigo haramu umechanganya na parachichi?

Askari amefundishwa utii bila shuruti l,Nadhani ulitumia lugha chafu Ndio maana ulishushwa

Huyo Rafiki yako Ulitaka akusaidie nini?
Sikutumia lugha chafu, harafu unadhani walikuwa sawa askari wa kiume kunigusa gusa, mbona nimesafiri sehemu mbali mbali nje hawatumii mkono kukagua mfano ningekuwa na madawa nimeyatia ndani ya parachichi moja moja wangejuaje kwa kugusa na mkono watu tuna pedi, tuna nguo za ndai kwenye mabegi harafu wewe askari wa kiume unafunua funua kwa mkono ni haki kweli?
 
Traffik Tanzania ni wajinga na wapumbavu. Nasema hivyo kwasababu hawajui wanachokifanya. Nipo mataa ya mwenge toka saa 11 jion na sasa ni saa 1 usiku. (31 oct 2019)

Traffik wewe mpumbavu unaruhusu gari za kutoka mjini kwenda Tegeta na kusababisha foleni ndefu sana ya magari yanayotokea ubungo (Sam Nujoma) na kutokea Cocacola road.

Trafiki hamjui kuwa kazi yenu ni kuondoa foleni na sio kusababisha foleni. Unaporuhusu gari za upande mmoja tu inadhihirisha upumbavu wenu nyie matrafik.

Haya ndio madhara ya serikali kuajiri mapolisi ambao 99% kati yao ni form 4 failures.
mkuu ulikuwa unatembea na nusu lita ya wese nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

hivi ni vitu vya kawaida mjini hapa kuna mambo mengi,sio kwamba watu wana chuki na wewe.
 
Back
Top Bottom