kiletza
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 537
- 923
Huyo police traffic mmoja wa mwenge ndio akufanye utuhumu traffic police wote wa Tanzania kana kwamba ushaendesha gari nje ya nchi hii na kuona performance zao wa huko?Traffik Tanzania ni wajinga na wapumbavu. Nasema hivyo kwasababu hawajui wanachokifanya. Nipo mataa ya mwenge toka saa 11 jion na sasa ni saa 1 usiku. (31 oct 2019)
Traffik wewe mpumbavu unaruhusu gari za kutoka mjini kwenda Tegeta na kusababisha foleni ndefu sana ya magari yanayotokea ubungo (Sam Nujoma) na kutokea Cocacola road.
Trafiki hamjui kuwa kazi yenu ni kuondoa foleni na sio kusababisha foleni. Unaporuhusu gari za upande mmoja tu inadhihirisha upumbavu wenu nyie matrafik.
Haya ndio madhara ya serikali kuajiri mapolisi ambao 99% kati yao ni form 4 failures.