Hahaaaaaaaaaaa! AIRTEL YATOSHA!
Hivi kwanini huwa watu wanaponda Facebook,mbona kitu kile kile
Af ninyi watu msitufanye sisi humu watoto mkadhani labda we are interested to that extent.... Hii maana yake nini sasa? We mdada umetumwa? Tunapenda jukwaa lichangamke kweli lkn si kwa utoto huu. Matola kama kweli ur behind this haipendezi....ndio hayanihusu lkn I have to tell u this is Childish
mama mkwe heshima yako. vp my wife to be, hajambo? anaendeleaje na shule?
Usitake kuwa peke yako ila pigana uwe namba moja,and for that Lara moko kafanikiwa.
Kwa mantiki hiyo huu uzi hauna mashiko japo mkuu Matola hajaonyesha kumkemea mleta uzi
Nlikwambia ile gari nimeichoka unipe nyengine....!!! Au hutaki mke wewe
Usitake kuwa peke yako ila pigana uwe namba moja,and for that Lara moko kafanikiwa.
Kwa mantiki hiyo huu uzi hauna mashiko japo mkuu Matola hajaonyesha kumkemea mleta uzi
I have already explain everything to my wife lara 1 nayeye ni well educated na intelligent kwahiyo anajuwa chitchat ni nini.
na mimi kama mwanaume kamili siwezi kumuofend mwanamke ambaye ameanuwa kuonesha hisia zake kwangu ukweli anaujuwa my Lara.
WHO WANTS A MAN NO BODY WANTS? Akhaaaaa babu anavowakimbiza najiona NIMEPATA KITU CHA MAANA!!!
Hahaaaa! Mbona hasira namna hio? Ni Matola tu ama? Si kwenye tittle kamtaja! Kama hupendi uliingia kufanya nini?
Hapo ndio huwa nashindwa kuwaelewa wadada,u will find a brother is dating a lady and they start going after him but when he was single they didn't bother.Especially when a brother dates the finest girl around au hata akiwa na msichana mbaya lakini akionyesha kumjali sana basi wadada wanaanza kupanga
YEYE AMPATE ANA NINI NA WAO WAMKOSE WANA NINI.? Watabanana hapo hapo,!
mamkwe nae kwa kwenda na muda hajambo. yaani gari jipyaa ushalichoka jamani? sidhani hata kama yale mafuta niliyokujazia kwenye tank yameisha. NWY uko na mkweo anakujali. kesho jioni wpe taarifa na gari ntakalokuwa nimekupa KIZAA CHEMA CHANGU.