Matola, Oooohhhhh baby

Suprise

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
2,696
Reaction score
1,063
Thanks so much kwa kunipa ruhusa nifaidi mema ya nchi.
Sitamani kukukosa ingawa kwa sasa nimekubali kua mchepuko ila naamini sun ntakua njia kuu,
Thanks so much, love mingi,
Nakuahidi kutekeleza yale tuliyokubaliana ili nisikuharibie kwa kubwa la maadui,
Endelea kumfanya ajue yupo peke yake huku ukinipa kwa wakati wangu,
U r so clever baby , u know how to handle situation, u know how to deal with third party,
u r real gentleman,
U have all that I nid.
Ili wasishtuke mapema wakatudisturb acha na mimi ntafute njiakuu ya kuzugia bt we both know wea to mit,

I love you sana,

blind copy(BC) kwa wote coz hii kimyakimya
 
Matola ukuje huku utufafanulie uzur yakheee

Hawez kuja wakati tumekubaliana silence, mahaba yamenizid ndo maana nikasema maana moyo ulitaka pasuka, natamanik dunia ijue ila ndo hivyo vigezo na mashart kuzingatiwa
 
My lara unafahamu fika uchumba wetu unavyofitinishwa, huyu katumwa wala si bure.
 
Last edited by a moderator:
Af ninyi watu msitufanye sisi humu watoto mkadhani labda we are interested to that extent.... Hii maana yake nini sasa? We mdada umetumwa? Tunapenda jukwaa lichangamke kweli lkn si kwa utoto huu. Matola kama kweli ur behind this haipendezi....ndio hayanihusu lkn I have to tell u this is Childish
 

Hivi kwanini huwa watu wanaponda Facebook,mbona kitu kile kile
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…