hivi mwallu, nikikutumia PM unaweza kuijibu kweli?
au utaifuta kabla haijafika mamii?
One day i will marry the one i love;
the one.............. pretend like............
mamii why me lakini /\ !!?
hii ni mission nyingine au?
bahati mbaya huwa sisomi pm
Excel nakuona unavyomtega sister wa watu ( mwallu),na kipindi hiki cha mfungo wa kwaresima!Nitakusemea,wewe endelea!"Ole wake yule anayemkosesha mmojawapo wa hawa,maana ni heri afungiwe jiwe la kusagia na kutupwa baharini"nilikuuliza swali lakini!! hivi nikikutumia PM ya aina yoyote tu! hata kama ni ki lover lover, itajibiwa??
nijibu tu kivyovyote!
yeah..mie siwezi..halafu huyu ni shemeji yangu..kwa miss neddy
amen amen
hahahaaaa!!! sungura, ujue uko na sis wangu aisee!!
ukimzingua tu nakuja bila kuuliza!! mtunze sana Bantu lady kama nilivyokuasa!!
actually, mwallu ni hasimu wangu kimtindo... anapenda nifanye kitu fulani.. ila.. dah! ngoja!